Recent content by japhet john

  1. J

    JamiiForums Tanzania Jamani TBC wamezidi Kuboa!!

    nakubaliana nawe kabisa startv kwenye habari za kimataifa wanaeleza kwa ufasaha sana,wanaobore ni ITV habari za kimataifa ni kama vile joe kihampa anasoma magazeti!PIA TBC KWA WATU TUNAOTUMIA DSTV MNAKATAKATA SANA JAMANI
  2. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa strikes back!

    kila mtu ilimshutua kwani lowasa alikuwa anaonekana hashikiki,lakini cha muhimu kila mtu alifurahi kwa kuwajibika kwake
Back
Top Bottom