Recent content by JANUARYAHMED

  1. J

    Naoma kujua kituo cha review classes Dodoma

    Mi mwalimu kwenye hicho kituo hicho tuwasiliane kwa 0753416042 karibu kwenye ulimwengu wa wahasibu
  2. J

    Lowasa asali Nativity Zanzibar kukagua uhai wa makanisa

    you are right!!!! nashangaa kinachotuuma nini hasa?
  3. J

    Lowasa asali Nativity Zanzibar kukagua uhai wa makanisa

    you are right!!!! nashangaa hasa kinachotuuma nini ?
  4. J

    Wachungaji kufungisha ndoa za mimba ya miezi 7,9 ni njaa ama kupotoka??

    Hakuna kosa hapo si kwa sheria za nchi wala kwa mungu maana hata baba yake yesu alimwoa bikira mariam akiwa na mimba ya yesu, isipokuwa kama mimba ni ya mume mwingine basi hakutakuwa na ndoa halali chini ya kifungu namba 39(iv) cha sheria ya ndoa ya mwaka 1971
  5. J

    Wanaume, tupeni majibu hapa...

    Teh! Teh ! nimependa hii ya "Afadhali kuishi kwenye paa la nyumba kuliko kuishi na mwanamke mgomvi" by the way huwa tunaomba msamaha hata kwa kupiga magoti tatizo nyie mna "vidomodomo" tukiwaomba msamaha namna hiyo kesho hiyo habari utaikuta "Dar eS salaam stock of exchange (soko la hisa na...
  6. J

    Lowasa asali Nativity Zanzibar kukagua uhai wa makanisa

    Heko lowassa kasi yako ya kueneza neno la mungu sote tunaiona, ni nzuri, kupanga ni kuchagua tunaamini unachofanya kuna siku muumba atakulipa
Back
Top Bottom