Recent content by Jantisa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania KERO Mkurugenzi Korogwe DC tupia jicho shule ya msingi Makole iliyopo KIJIJI Cha MAKOLE kata ya Magamba Kwalukonge

    Habari wakuu mimi ni mdau wa elimu kutoka mkoa wa Tanga nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya elimu katika shule ya msingi Makole iliyopo katika halmashauri ya WILAYA Korogwe DC katika kata ya Magamba KWALUKONGE Kijiji Cha Makole. Kwa kipindi kirefu shule hiyo imekuwa ikipoteza thamani yake ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto Vyuo Vya Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Vijana wenye Ulemavu: Ukosefu Walimu na Vifaa

    Habari Wana nzengo Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Circular na waraka za utumishi wa umma kwanini zinafichwa?

    Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa wataalamu wa utumishi wa umma hususani Maafisa utumishi wa umma hivi Kuna haja gani ya kuficha waraka mbalimbali zinazowaongoza watumishi wa umma katika kudai haki zao kama vile uhamisho, kufanya recategorization, kudai malimbikizo ya mshahara na posho Ikiwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania KERO Uonevu kwenye usahili wa ajira za Afya Septemba 2024

    Pole sana kwenye kutafuta Kuna mengi ndugu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili Sekretarieti Ya Utumishi ni Sahihi?

    Next time atapata
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kimetulamba kwenye written interview

    Hongera mwenyezi mungu akuongoze
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili Sekretarieti Ya Utumishi ni Sahihi?

    Ishu hapo n aplitude test mkuu ..wanajua vyote unajua ..Kuna logical reasoning, number reasoning n.k pia ni njia ya mchujo hiyo mkuu coz watu ni wengi
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kimetulamba kwenye written interview

    Poleni ndio mchujo huo mkuu ...au aplitude test next time upitie aplitude test upate experience
  10. J

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Ustawi wa Jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu

    Taasisi ya ustawi wa jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu kwani haifunguki na hata kufunguka ni kwa shida. Mnawasumbua wanafunzi wanaotaka kusoma katika chuo chenu muache kujiendesha kwa mifumo ya kizaman Dunia sasaiv ipo kwenye tehama Mnawakatisha tamaa wanajiuliza kama website rasmi ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza PEP miezi 6 iliopita baada ya kudate na muathirika kwa uhakika

    Bingwa ikichora mingapi ni positive
Back
Top Bottom