Recent content by Jannet

  1. J

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Malori wamefunga Barabara ya Morogoro, baada ya mwenzao kupigwa risasi na mwajiri wake

    hali ikoje kwa sasa ndugu. natoka moro kuja dar na kurudi itawezekana kweli
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbegu za kiume hukaa muda gani kabla ya ku-expire?!

    asante sana. islATES
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbegu za kiume hukaa muda gani kabla ya ku-expire?!

    Habari. Kwa anaejua. Je shahawa zinakaa muda gani ukeni ndo zina expire?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu wa watoto wangu kuacha kunyonya

    Mie nilipatwa hali kama hiyo. Nikashauriwa kutafuta papai bichi changa, unamenya then unachemsha unakunywa maji yake kila siku. Matokeo yalikuwa mazuri. Karibu na wewe. Pole sana.
  5. J

    JamiiForums Tanzania kuna nini morogoro road

    duuuu morogoro masaa 9 leo
  6. J

    JamiiForums Tanzania kuna nini morogoro road

    duuu kweli
  7. J

    JamiiForums Tanzania kuna nini morogoro road

    tumetoka ubungo saa 6 mchana hatujafika hata mbezi. gari hazitembei KBS. kuna nn
  8. J

    JamiiForums Tanzania Lucid Dreaming: Kuota ukiwa unafahamu (Spirit Science)

    inakuwaje waweza kuwa umelala usingizi lakini unasikia kila kinachoendelea nje. kama watoto kucheza Dada kuita nk
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jamani nauza stationary yangu nimehamishwa kikazi

    we ni bigure
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natamani mtoto, nifanyeje!?

    nimelia na Mimi Nina mtoto miaka 8 wapili akafariki 8 months na juzi mimba nimetoka ya miezi miwili
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hii mimba imeharibika?

    Asanteni ndugu zangu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hii mimba imeharibika?

    Namshukuru Mungu kwa yote. ikizingatia nilifiwa mtoto wangu wa miezi 8 mwezi wa 4 kwa ugonjwa wa maleria na homa kali. nasikitika ujauzito wa miezi miwili umetoka. sababu ni uvimbe kwenye kizazi. We Mungu najua una makusudi na maisha yangu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hii mimba imeharibika?

    Imeanza Jana kaka nitonye
Back
Top Bottom