Recent content by Jankoliko

  1. J

    Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Kwa kawaida Qur aan ina utaratibu wake wa kuweza kuielewa. Usipo fuata utaratibu aidha kwa makusudi (kupotosha) ama kwa bahati mbaya (kutoijua Qur aan) huwezi elewa kilicho kusudiwa katika kila aya. Na pia jaribu kuangalia aya za nyuma ama mbele ya aya unayoisoma, kwa sababu Qur aan ina tabia...
  2. J

    Upinzani unashindwa kuaminika kwa mambo ya kijinga kama mabango ya USA ziara ya Rais Samia

    Nilipo andika kuhusu uelewa sikuwa nabahatisha. Ndio maana hapa nacheka tu, halafu naacha maisha yaendelee.
  3. J

    Upinzani unashindwa kuaminika kwa mambo ya kijinga kama mabango ya USA ziara ya Rais Samia

    Kusifia ama kukosoa ni jambo lisilo hepukika kwa nchi yoyote duniani, kila mtu ana mtizamo wake kwa namna serikali yake inavyo endesha nchi. Ila kutakuwa na tatizo la uelewa kwa kuona wengine ni wajinga kwa sababu mtu unatofautiana nao ki mtazamo. Walio peleka mabango kule ugenini wamealikwa na...
  4. J

    Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Nakubaliana na maoni yako kiongozi, tatizo kuu hapa ni utendaji kazi wa polisi na serikali kwa ujumla. Na kesi ya huyu dada serikali isibaki tu kwenye mazoea kwamba wanigeria tabia zao ni mbaya, bali ije na majibu ya kiuchunguzi wa haki.
  5. J

    Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Muandishi maoni yako yanajichanganya kama anavyo jichanganya Zainab na wanavyo jichanganya wenye Hotel. Unapinga maoni ya kwamba suala la uhalifu lipo, kwa sababu bado uchunguzi hauja toa taarifa. Lakini kabla ya uchunguzi unatuaminisha kwamba Zainab ni tapeli? Hv Royal tour ndio kigezo muhimu...
  6. J

    Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

    Hivi kwa nafasi ya mtu kama Zitto ni kweli anaweza kutumia neno asilolijua maana yake?
  7. J

    Raia Mwema: Mbowe na Lissu watofautiana kauli

    Huu ni mkakati maalum wa kumuandama mbowe kwa lengo la kudhoofisha nguvu ya chadema. Baada ya ile tamthilia ya ugaidi kugonga mwamba sasa wamekuja na mkakati mwingine. Kama kweli Rais na mwenyekiti wa chama tawala ana nia nzuri yakushirikiana na vyama vingine kujenga nchi angeanzia kwa kukemea...
  8. J

    Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

    Kwa sifa za mlima wenyewe, kuna wengi wanaopenda kupanda huko kileleni, lakini wanashindwa kwa sababu mbali mbali. Na wako wanopanda kwa lengo la kufika kilele cha mlima kwa miguu. Nadhani hivyo viberenge ni mradi mzuri utakao ongeza pato la taifa kwenye utalii. Ila hoja kuu hapa nadhani ni...
  9. J

    BAWACHA kanda ya Pwani wafika Hospitali ya Muhimbili kumjulia hali Profesa J

    "mbunge wa zamani wa Mikumi Mh Joseph Haule". Hili la kuwa mbunge wa zamani tunaliacha kiporo adi siku ya hukumu. Ila kuna kipengele hapa naona kama umempunguzia hadhi yake. Ni vyema ukaweka hadhi yake kwa ukamilifu. Yaani Mh Joseph Haule mbunge wa watu na wanyama jimbo la mikumi.
  10. J

    BAWACHA kanda ya Pwani wafika Hospitali ya Muhimbili kumjulia hali Profesa J

    Kiongozi nilidhani utasema kwamba mama atamtibu kwa pesa yake, ama pesa ya chama cha mapinduzi. Lakini kumbe atatibiwa kwa gharama ya serikali yetu sote? Hata hivyo miaka zaidi ya 60 chini ya chama kikongwe watu kutibiwa mmoja mmoja kwa kujulikana majina yao ni hasara kwa taifa, Kwa sababu wapo...
  11. J

    Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

    Sub-hanallah!! Hivi mshenzi kama huyu bado yuko uraiani, na maisha yanaendelea?
  12. J

    Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya

    Hiyo ni mbinu ya kuongeza urefu wa kamba. na hapo bado siku atakayo rudi kamba zitakuwa ndefu zaidi. Maana utasikia Ufaransa wametoa mkopo wa milioni kadhaa, na Ubelgiji wametoa msaada wa madawati kuboresha elimu. Huku TRA wakiongeza dau la kufuli watakalo fungia vibanda vyetu.
  13. J

    Zitto acha udalali wa mauzo ya uhuru wa Freeman Mbowe

    Kiongozi ungetusaidia kwanza kutuwekea wazi kosa la Mh Mbowe, halafu ndio tujadili mambo ya msamaha.
  14. J

    Amani Karume: Nilishangaa wana-CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, Uchaguzi 2015 Zanzibar nilisikitika, niliwauliza hawa wenzetu si Watanzania?

    Ku tekwa, kwa nafasi aliyo nayo isingekuwa rahisi. Labda tuseme aliogopa kuwashwa washwa.
  15. J

    Amani Karume: Nilishangaa wana-CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, Uchaguzi 2015 Zanzibar nilisikitika, niliwauliza hawa wenzetu si Watanzania?

    Kiongozi sina lengo la kubishana na hoja yako. Hoja yangu ya msingi hapa ni kwanini alikaa kimya kwa miaka 6? Kwa nini aliendelea na nafasi yake ndani ya chama hali ya kuwa anajuwa maalim seif, wazanzibar pamoja na yeye mwenyewe wamedhulumiwa? Kunyamaza na kushiriki kwa muda wote huo ndio...
Back
Top Bottom