Recent content by Janje

  1. Janje

    Kibera demolished

    Wacha upuzi.Hio ni part ndogo sana ya Nairobi.Hata haistahili kuwa apo.Ni kama una shares mahala hapo
  2. Janje

    Kibera demolished

    Kibra ni part ndogo sana ya Nairobi, yenye mimi mwenyewe sijazuru Nataka kieleweke kwamba, wenye kuishi humo wengi wao ni kujitakia kwa maana maisha ni ya gharama ya chini. Kuna wanaoishi pale na wako na uwezo kifedha hata kuniliko mimi na pia wengi wenu mnao hara kwa midomo chenu hapa. Cha...
  3. Janje

    Tanzania ports: Expansion and modernization

    Hata mimi sipendangi yangu lakini afadhali yako ikona walembo
  4. Janje

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Seriously which of your fancy hotels is affordable?nauliza kama mkimbizi
  5. Janje

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ni kiuliso kwa sapapu pia mimi siwezi jifunia kempinski villa rosa ambapo siwezi affordi $1500 usiku moja:cool::D
  6. Janje

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hizo hoteli za Tz kulala ni dollar ngapi, ama hata nyinyi hula tu kwa macho?
  7. Janje

    Tanzania ports: Expansion and modernization

    Kazi nzuri hapo
  8. Janje

    SGR Construction in Tanzania - UPDATES

    WaTZ hii reli yenu si iishe hata mimi nijibarizi nalo:D:D
  9. Janje

    Kibera demolished

    Tembea Kenya, apana ropokwa ovyo na kuhara na mdomo
  10. Janje

    Niulize swali lolote kuhusiana na tukio la jana huko DR Congo

    Congo iko mwandada anapenda nyinyi,
Back
Top Bottom