Jamani hii kweli ni hatari, na ninadhani ni dalili ya kwamba hatuna wajasiliamali wanaoweza kuongoza biashara ya Madini na vitalu vya gesi ya mtwara ambao ni wazawa wa nchi hii.
bado siamini kama hakuna hata mwana jamvi mmoja alie na msaada juu ya ombi langu ijapokuwa post imetazamwa na watu...
Yaani CV na Cover letter mnazoandika baadhi ya waombaji kazi zinakatisha tamaa, kwenye interview ndio majanga hasa kwa fresh from Colleges/University. Tulitangaza nafasi ya Finance and Administration Manager, kweli mtu kwenye cover letter anajitambulisha "I am a boy who completed university"...
habari zenu wana JF, naamini mko vizuri na mnachakalika kikamilifu kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kuhifadhi cha baadae.
naomba kusaidiwa na wenye uzoefu/uelewa wa biashara za vitalu vya madini, iwe ni kwa mikataba ya kupangisha au kuchimba na kugawana pato au kuuza kabisa kitalu. nikipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.