Recent content by Jangakuu

  1. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kurudisha email iliyosahaulika password

    Akishindwa kukusaidia huyu, utanicheki ,lakini mahitaji ,email yako na namba zote mbili za Simu ulizowahi kusajilia hiyo email
  2. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Mimi nimeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bado hatujabahatika kupata mtoto

    0688448117, utapata suruhu ya tatizo lako
  3. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Business cards na fliers

    Nahitaji brochure. Naomba namba zako.unapatikana wapi?
  4. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Bagamoyo Kilomo

    Inategemea na matumizi yako
  5. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Bagamoyo Kilomo

    Kiwanja kinauzwa heka 4, kipo bagamoyo kilomo kilometers sita kutoka barabara kuu ya bBgamoyo, upande wa kilomo shule ya msingi, ukienda Bagamoyo upande wa kushoto, uliza kilomo shule. Bei ni milioni 13. Kwa mawasiliano piga namba 0686 351 253.
  6. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Ugaidi na Gaidi

    Maana halisi ya ugaidi . Ugaidi in matukio yanayofanywa na kundi la watu (wanaoitwa magaidi) lengo kubwa ni kutaka mawazo yao yasikilizwe na haki yao ipatikane Kwa lazima ,kutoka Kwa watawala wa nchi yaani serikali iliyo madarakani, baada ya kuona njia ya kisheria na kidplomasia imeshidwa...
  7. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania FURSA NZURI YA INCLUSIVE FX inakupatia faida kila siku kwa kuwekeza kiasi kidogo cha pesa bila kufanya kazi yoyote

    Naomba link kaka ya platform yenu ni sign up
  8. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Toyota spacio inauzwa bei chee!!

    Show room mpya shs ngapi?
  9. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    Miezi sita mpaka 8 kama itawezekana
  10. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    Basi acha natafuta nyumba kodi 150 . Maeneo haya ya goba 200 hapana kaka
  11. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    Kodi shs ngapi kwa mwezi kaka
  12. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Noah New model na IST zinahitajika

    Namba gani A B C au D ?
  13. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Haya yanayosemwa kuhusu Hospitali ya Mloganzila ni kweli?

    Suala LA loganzila ,nimelisikia sana mitahani na kwenye daladala. Na Leo nalisoma humu, itskuwa insu ya kweli naomba serikali ifuatilie hili suala
  14. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

    Nilifanya miamala ya 33,000,000. Nikalipwa 420,000. Noma .
Back
Top Bottom