Recent content by Janeth Augustine

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    THERE has been a misunderstanding on the dispute involving Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and the money, which was deposited in the escrow account at the Bank of Tanzania (BoT). FAUSTINE KAPAMA, interviewed on Friday 17th October 2014 at the SOPA Lodge Ngorongoro one of the lawyers...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    THERE has been a misunderstanding on the dispute involving Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and the money, which was deposited in the escrow account at the Bank of Tanzania (BoT). FAUSTINE KAPAMA, interviewed on Friday 17th October 2014 at the SOPA Lodge Ngorongoro one of the lawyers...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Escrow kuiadhiri CCM

    THERE has been a misunderstanding on the dispute involving Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and the money, which was deposited in the escrow account at the Bank of Tanzania (BoT). FAUSTINE KAPAMA, interviewed on Friday 17th October 2014 at the SOPA Lodge Ngorongoro one of the lawyers...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Urais 2015 Tanzania, Ni zamu ya wanawake, Je tunaweza?

    Urais 2015 Tanzania, Ni zamu ya wanawake, Je tunaweza?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka aongoza maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa (UN)

    Hawako Interested kivipi? sio kwamba wamepigwa na butwaa.... ?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Mbona mnatuchanganya? upi ukweli kati ya hii ya kwako na kilichoandikwa leo, Jambo Leo ya Sept 21. Hebu kasome hiyo taarifa ya ndani ya IPTL then urudi utwambie ukweli ni upi. Inawezekana watu wengi wanaleta habari hapa JF bila kufanya findings alimradi kasikia washikaji zake kijiweni wanapena...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka ang'ara katika hatma ya kupatikana katiba mpya tanzania. Asema ukawa rudini bungeni

    Nyamizi, Na wewe boss wako anayekutuma katika janvi hili ni nani? usiingilie uhuru wangu wa kutoa mawazo yangu, na wewe toa ya kwako. Hiyo ndio Democrasia.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka ang'ara katika hatma ya kupatikana katiba mpya tanzania. Asema ukawa rudini bungeni

    mmmh Sidhan kama Prof. Tibaijuka anahusika sana na ufisadi huo zaidi ya anavohusika na Katiba ya nchi yetu? mbali na hilo, huyu Prof. Tibaijuka sio mtu wa kuongea ongea hovyo hovyo,,,,, huwa anaitwa sana sana mambo yanapokaa vibaya sana. Huwezi jua huenda keshatoa ushauri kwa wahusika wakubwa wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka ang'ara katika hatma ya kupatikana katiba mpya tanzania. Asema ukawa rudini bungeni

    Elly B, nilifuatilia mdahalo LIVE. Mchango wa Prof. Tibaijuka kweli uliteka ukumbi Wakamsikiliza. Sikuskia akizungumza mambo ya ardhi. Alisisitiza historia ya democrasia na utamaduni wake wa "kuzungumza na kuzungumza hadi kieleweke". Akatetea haki za wanawake. Akawasihi UKAWA warudi bungeni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tunaungana kumtaka Prof. Tibaijuka agombee urais

    Unasema mama Tibaijuka ni muathirika? Hebu tupe habari. Ana CD Count ngapi? Wanaofanya naye kazi wanalalamika hachoki, huwezi kumuona kasinzia kwenye kiti, hali lunch, na ati huwa anadai kama wewe ni kijana mkikimbia atakuacha nyuma. Kama kuathirika ndio huku basi awe Rais. Acha kunyanyapaa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka na kitendawili cha mgogoro wa chasimba

    na wewe upo kundi gani? la waliokubali mazungumzo au waliokataa mazungumzo au uko kundi la tatu la wasiotaka mgogoro uishe ili waendelee kulipwa na kuwachafua waliofanikisha kutatua mgogoro
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Tibaijuka azomewa kwa kushindwa kumaliza mgogoro wa Ardhi

    Hapa Mwananchi wasipotuletea video kama ushahidi wa zomea hii, watakuwa wamejimaliza kabisa...watakuwa wamejisajili kama gazeti la udaku
  13. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka akiwa kata ya Bunju

    Rais Kikwete kweli aliyaona. Mama Tibaijuka ni jembe! 1. Eneo la nyongeza baharini tayari analidai, Kimataifa. 2. Mji mpya wa Kigamboni unapiga hatua, hata Mh. Ndugulile kasalimu amri. Juzi nilimuona kwenye Luninga, wako pamoja 3. Sasa mgogoro sugu wa Wazo Hill Chasimba nao ndo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mama Tibaijuka anatafutwa

    Ndug Ericus Kimasha, ushauri wako ni mzuri. Kimsingi nakubaliana nao katika dunia ya wastaarabu. lakini hapa janvini ustaarabu ni haba. Hapa mambo ni jicho kwa jicho, jino kwa jino. Online Reputation Management pia inategemea uelewa wa mtiririko wa Online Negative propaganda. kwa mfano; tayari...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mama Tibaijuka anatafutwa

    Ndug yangu MkoroshoKigoli, Hivi wewe ulisoma chuo gan? yaani kumskia mtu akiongea kupitia redio ndo unajua kuwa yuko kijiji?? je kama kaletwa mjini??
Back
Top Bottom