Tunaungana kumtaka Prof. Tibaijuka agombee urais

Tunaungana kumtaka Prof. Tibaijuka agombee urais

RaisMtarajiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
704
Reaction score
65
PROF. ANNA TIBAIJUKA MWANAMKE WA KWANZA AFRIKA KUPIGIWA KURA NA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA NA KUONGOZA TAASISI YA UNO DUNIANI.

IMG_1086.jpg
 
Kanda ya ziwa wewe na nani?Maana nipo kanda ya ziwa lakini siwezi kumpa kura huyu mama
 
Mama mgonjwa huyu, hatuwezi kurudia uchaguzi ndani ya mwaka mmoja tu!
 
Huyu mama ni muathirika aisee,hafai kuwa rais
 
Mtende kwami Mwathirika hafai kuwa kiongozi.hivi hizi tabia zenu za kunyanyapaa mtaacha lini nyie?haujui hata wewe waweza kutapa hata leo hii tunayoongea hapa? Pia ulimpima ukakuta kaathirika.Chungeni sana tabia zenu za kuzusha.Ni amri toka kwa Mungu usiseme uongo.
 
Ama kweli nimeamini UDOM kweli ni chuo cha kata, leo ndo nimeamini kwanini makampuni mengi na ofisi nyingi huwa hawataki. Kuajiri vijana toka udom ...kumbe ni kwa sababu ya vilaza kama hawa inasikitisha sana kijana anayejiita msomi baada ya kushiba. Na kula ubwaubwa wa bure bure. Anadai eti kanda ya ziwa na udom mnaungana nani amekwambia kwamba watu wanamtaka huyu mama awe raisi....
 
Hivi unajua kanda ya ziwa ina wakazi wangapi?
 
Mtende kwami Mwathirika hafai kuwa kiongozi.hivi hizi tabia zenu za kunyanyapaa mtaacha lini nyie?haujui hata wewe waweza kutapa hata leo hii tunayoongea hapa? Pia ulimpima ukakuta kaathirika.Chungeni sana tabia zenu za kuzusha.Ni amri toka kwa Mungu usiseme uongo.

#Mtende alipo sema ni Mwathirika hana maana ya kumtenga huyo mama.... bali majukumu ya uraisi yanaitaji mtu alie na afya bora ili kufanya shughuli kwa usitadi na hali ya juu..... nadhani una fahamu udhaifu wa watu walio athirika.
 
Huyu mama ni muathirika aisee,hafai kuwa rais
Unasema mama Tibaijuka ni muathirika? Hebu tupe habari. Ana CD Count ngapi?
Wanaofanya naye kazi wanalalamika hachoki, huwezi kumuona kasinzia kwenye kiti, hali lunch, na ati huwa anadai kama wewe ni kijana mkikimbia atakuacha nyuma. Kama kuathirika ndio huku basi awe Rais. Acha kunyanyapaa wajane, yanaweza yakakukuta pia
 
hivi bukoba ndo kanda ya ziwa? kashindwa chasimba na kigamboni ataiweza tanzania?
 
#Mtende alipo sema ni Mwathirika hana maana ya kumtenga huyo mama.... bali majukumu ya uraisi yanaitaji mtu alie na afya bora ili kufanya shughuli kwa usitadi na hali ya juu..... nadhani una fahamu udhaifu wa watu walio athirika.
mmm!!!
 
...kanda ya ziwa gani,maana watanzania hatumtaki...
 
PROF. ANNA TIBAIJUKA AKIWA NA UJUMBE MUHIMU KUTOKA MATAIFA YA NJE YA NCHI WAKIJADILI JINSI YA KUONDOA UMASIKINI TANZANIA NA KUWA NA MAISHA BORA ZAIDI YAKIHISTORIA. YUPO NA MAKAMU YA RAIS DR. HALIB BILALI
563441_558139740912531_894267417_n.jpg

​

  • HABARI ZENU WANAJAMVI,
  • KUTOKANA NA TAFITI TULIZOZIFANYA KAMA WASOMI NA VIJANA WA NCHI HII, TUMEGUNDUA YA KUWA SASA NI WAKATI WA WATANZANIA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU NA SAHIHI KWA KUKUBALIANA NA UKWELI HUU KWAMBA PROF. ANNA TIBAIJUKA URAIS 2015 NDIYO HABARI YA MJINI.
  • UTAFITI WA WALIO MIKOANI NA KANDA MBALIMBALI TANZANIA WAMESEMA PROF. TIBAIJUKA ANAPAA SANA KATIKA MEDANI ZA SIASA HUKU AKIOMBWA AINGIE KATIKA KINYANGANYIRO CHA KUGOMBEA URAIS KWANI NI KIONGOZI BORA NA HODARI SANA NDANI NA NJE YA NCHI.
  • MMOJAWAPO WA WAZUNGUMZAJI HAO ALISEMA ,NANUKUU " KAMA UMOJA WA MATAIFA WALIMUELEWA NA KUMUAMINI NA KUMCHAGUA DUNIANI KOTE NA KUONGOZA MOJA YA TAASISI ZAKE ZA UMOJA WA MATAIFA, IWEJE WATANZANIA TUSIKUBALIANI NAO NA KUSEMA NDIYE TUNAEMUHITAJI KUPOKEA KIJITI KUTOKA KWA MH. RAIS DR.JAKAYA MRISHO KIKWETE"?
  • WENGINE WALISEMA, TAIFA HILI LINAFIKIA HAPA TULIPO SASA KWASABABU YA KUENDEKEZA MFUMO DUME NA MFUMO DUME KWA MIAKA HAMSINI YA UONGOZI WAO TANZNIA HAUJAWAHI KUONDOA TATIZO LA UMASIKINI TANZANIA, HIVYO BASI NI LAZIMA TUBADILIKE WATANZANIA NA KWA SASAIVI TUMEJIPANGA KWELIKWELI. MFANO MZURI WAMETOA NI HUO WA VIONGOZI WAKUBWA DUNIANI AMBAPO WANAWAKE NI WAWILI TU WAKATI WANAUME NI ZAID YA 20.
  • PROF. TIBAIJUKA ANAUWEZO MKUBWA SANA WA KUTATUA MATATIZO YA UCHUMI, UMASIKINI ,AJIRA, AFYA,MICHEZO, ELIMU, N.K. HIVYO BASI TWAWEZA KUSEMA WANANWAKE WANAWEZA.
  • WAKIZUNGUMZA KUTOKA MITANDAONI, WALISEMA SASAIV PROF. AMEJIKITA KATIKA KUTIMIZA ILANI YAKE YA UCHAGUZI ILI ANAPOINGIA KATIKA SAFU INGINE AWE MSAFI ZAIDI WA KUTAKASIKA.
  • NAWAKILISHA: -
 
Wewe acha ujinga, mimi ningekuwa ndiyo moderator ningekupiga ban.Hata kama ni kutumwa unatakiwa uwe na kiasi siyo kila ukiamka asubuhi,Tibaijuka, unakula Tibaijuka, ukiwa unjakojoa ni Tibaijuka, ukiwa unakunyaaa ni Tibaijuka yaani in short unakela sana
 
Urais atausikia tu kwenye redio.

Maccm jiandaeni kuwa chama pinzani
 
Back
Top Bottom