Mwanamke havutii vipi wakati amejinasibu kuwa ni pisi kali! Ok mfano hamvutii si angevuta hata taswira ya Beyonce akung'ute fuko atembee jamaa kazingua au kuna kitu kimejificha hakuna mbususu ikaachwa kizembe hivyo tena mida ya wanga
Hoja dhaifu sana hizo kiongozi heshima kwa mwanaume haiji kwa kumnunulia mwanamke pombe na misosi tu bali na kuonyesha ulichobarikiwa na mungu kwenye maungo yake.
Nadra sana jamaa kazingua nahisi pisi ilikuwa imesimama kisawasawa akapigwa na bumbuwazi ambalo lilipelekea kukata Moto nihisivyo hata wakati wa hyo romance jamaa akili yake ilikuwa inawaza kweli pisi kali Leo ipo on bed??? Akasahau jukumu namba moja la mwanaume awapo na duu
Hapa hujata walimu kijana inaelekea baba yako ambaye ni Mwalimu baada ya kupigilia msumari wa nchi sita kunako....halafu akamkacha maza ako so baada ya kukua ikabidi maza ako akwambie kuwa ww ni product ya Mwalimu lakin kwa bahati nzuri Mwalimu akakukataa ungali na miezi 2 so hasira yako yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.