naishi mwanza
computer najua Ila sio sana
kuuus mshahala ni maelewano binafsi kutokana na kazi tyu lengo lang ni kuwa sikupi athala sana iri mradi Mimi nirudi shule mwaka ujao
nipo Mimi naweza pia mwaminifu najua nimechelewa kutoa jibu Ila hawa nacte ndo nawalaumu maana wamenitema kabsa natafta kz kama hizo au kurisha mifugo nipo tayr up now
Naomba kuuliza kati ya kozi ya nursing na kozi ya civil engineering ipi bora kwa soko la sasa katika ajira hapa Tanzania?
Naombeni msaada kwenu ipi ni bora natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.