Kijana wa kazi za ndani anahitajika

Kijana wa kazi za ndani anahitajika

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,anahitajika kijana wa kazi kutoka sehemu yoyote Tanzania atatumiwa nauli kuja Ukonga Dar es salaam.

Makubaliano ya kazi yatafanyika kati ya mwajiri na mwajiriwa

Kwa uliyetayari ama unaweza nisaidia kumpata kijana huyo ani PM au hapa hapa kwenye huu Uzi anijulishe
 
naweza kumpata mkuu .
 
mkuu weka wazi kwanza hapo.. unataka wa kiume au wa kike... au yeyote yule tuje kupiga mzigo!!!!
 
nipo Mimi naweza pia mwaminifu najua nimechelewa kutoa jibu Ila hawa nacte ndo nawalaumu maana wamenitema kabsa natafta kz kama hizo au kurisha mifugo nipo tayr up now
 
Back
Top Bottom