Pole sana kwa tatizo jaribu kuongea na mwanamke kuhusu historia yake kama amewahi kutoa mimba, au kutumia dawa za kupanga uzazi. Baada ya hapo muende kliniki kwa ushauri zaidi. Na mtakapo fika cliniki mutoe ukweli kuhusu historia zenu ili mpate kupewa msaada sahihi
Tafuta muda ukae nae kwa muda mrefu ili muongee hayo mambo mkiwa mmetulia bila haraka. Unajua unapokaa na mtu mda mrefu kidogo ndo unaweza kugundu chochote. Ila kwenye simu mtu anaweza kutoa maneno ambayo hayaendani na body movement.
Unajua inafika mahali ukisikia chochote kimegundulika Tz mtu unabaki unasikitika kwani hiyo mikataba inatufilisi WTz. Bora wasiendelee na udadisi hadi tujipange jinsi ya kuzitumia rasilmali zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.