Habari njema: Ama kweli Tanzania ni nchi ya neema - Utajili mwingine wa gesi wagunduliwa tena!

Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,648
1,724
Aminex Tanzania estimates quadruple
Mon 02 Jul 2012
AEX - Aminex
chart_image.cgi
Latest Prices
NamePrice%
Aminex4.55p+6.43%
Oil & Gas Producers8,098+1.43%
oil_onshore_narrow.jpg
LONDON (SHARECAST) - Aminex, the oil and explorer has issued a big upgrade of the resources at the Ruvuma and Nyuni Area Licences in Tanzania.

A new study of the area has come back with a total "undiscovered" estimate of 5.75 trillion cubic feet (TCF) in place at Ruvuma and of 5.67 trillion cubic feet of gas in place at Nyuni.

Aminex Chief Executive, Stuard Detmer, commented: "This independent report has identified a total 11.4 TCF of discovered and undiscovered "gas initially in place" for the Aminex Tanzanian exploration properties - a 400% increase compared to the previous report.

"Most of the increase comes from Ruvuma, evaluated now for the first time. The results are extremely encouraging... The evaluation confirms our view that the onshore Ruvuma Basin is highly prospective not only for gas but also with the possibility of finding reservoired oil."

Aminex shares had risen 6.7% by 11:37.
 
Je mikataba imeboreshwa? Au ndo yale yale ya dhahabu? Naishauri serikali kabla ya kuanza kuvuna hiyo gesi, irekebishe mikataba angalau serikali ipate 70% na mwekezaji 30%. Pia wavunje mikataba yote isiyo na maslahi kwa uma. Muda si mrefu Tanzania itakuwa NCHI YA MAZIWA NA ASALI.
 
Unajua inafika mahali ukisikia chochote kimegundulika Tz mtu unabaki unasikitika kwani hiyo mikataba inatufilisi WTz. Bora wasiendelee na udadisi hadi tujipange jinsi ya kuzitumia rasilmali zetu.
 
hapa hicho kipindi kilisha pita ilikuwa Enzi za jkn kwasasa tuzidi kuwakaba watawala..
 
Hawa wazungu tunawaaendekeza sana na wanatuibia sana. Kwenye nchi za wazungu wenzao hawafanyi huu wizi wa wazi wanaotufanyia sisi.

Kwa mfano raia mmoja wa Norway aliniambia kuwa huko kwao mwekezaji kwenye mafuta na gesi anapata 51 % na serikali inachuku 49 %. Kama huu mgao tungeutumia na hapa kwetu basi nchi yetu ingeendelea kwa sana tu. Huduma za afya zingekuwa supa, umeme wa uhakika, hakuna mtoto angesoma huku amekaa sakafuni kwenye vumbi.

Maslahi ya walimu yangeboreshwa na kuwafanya wafundishe kwa moyo wa kujituma na elimu yetu ingeboreka mara dufu. Barabara zetu zote hata za kwenda mikoani zingekuwa angalau na njia nne nne.

Tungeweza kufika mahali pa kuwapa posho hata wale wasiokuwa na kazi na hii ingeongeza usalama wa raia kwani uhalifu ungepungua kama siyo kwisha kabisa. Tuwapate wapi viongozi wa kusimama kidete na kutengeneza mikataba yenye maslahi kwa watanzania? Kwa MUNGU yote yanawezekana.

Tumwombe MUNGU aingilie kati kwake hakuna lisilowezekana. Tumeibiwa vya kutosha.
 
Mradi mkubwa, account zetu Uswizz zitashiba mahela mwaka huu.

Halafu mpaka wanakufa wanaacha mabilioni huko yasiyokuwa na next of kin. Wanatajirisha nchi zingine huku raia wao wakitaabika na maisha. Huu ni ujambazi wa hali ya juu sana.
 
hii onshore Ruvuma basin ipo wapi? Ntwara au mbombi nyumbii kule kwenye bonde la mto Ruvuma?
 
Wadau hiyo share index imepanda kwa asilimia 6.7% hapo ni ugunduzi tu kwamba mali ipo wakianza kuchimba je?
na je haya makampuni ya wawekezaji hakuna sheria yakuwabana wajiandikishe kwenye soko letu la hisa ( DSE?)
 
Kwa utawala wa DHAIFU hakuna cha maana tutaambulia tumbaf sisi! Na hivi wameshalijulia tumekwisha sisi! Afadhali Kagame aje tumpe uongozi japo kwa miaka miwili tu!
 
Hawa wazungu tunawaaendekeza sana na wanatuibia sana. Kwenye nchi za wazungu wenzao hawafanyi huu wizi wa wazi wanaotufanyia sisi.

Kwa mfano raia mmoja wa Norway aliniambia kuwa huko kwao mwekezaji kwenye mafuta na gesi anapata 51 % na serikali inachuku 49 %. Kama huu mgao tungeutumia na hapa kwetu basi nchi yetu ingeendelea kwa sana tu. Huduma za afya zingekuwa supa, umeme wa uhakika, hakuna mtoto angesoma huku amekaa sakafuni kwenye vumbi.

Maslahi ya walimu yangeboreshwa na kuwafanya wafundishe kwa moyo wa kujituma na elimu yetu ingeboreka mara dufu. Barabara zetu zote hata za kwenda mikoani zingekuwa angalau na njia nne nne.

Tungeweza kufika mahali pa kuwapa posho hata wale wasiokuwa na kazi na hii ingeongeza usalama wa raia kwani uhalifu ungepungua kama siyo kwisha kabisa. Tuwapate wapi viongozi wa kusimama kidete na kutengeneza mikataba yenye maslahi kwa watanzania? Kwa MUNGU yote yanawezekana.

Tumwombe MUNGU aingilie kati kwake hakuna lisilowezekana. Tumeibiwa vya kutosha.

hapo umenena mkuu! Mungu atatupatia tu viongozi wema
 
Kabisa mkuu MUNGU ni mwema. Neno la MUNGU linasema:-

"Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na KUOMBA, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na KUIPONYA NCHI YAO" (2 Mambo ya Nyakati 7:14).

"Nami Nikatafuta mtu miongoni mwao, atakayelitengeneza boma, na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka, kwa ajili ya nchi, nisije nikaiharibu, lakini sikuona mtu. Kwa sababu hiyo nimemwaga ghadhabu yangu juu yao; nimewateketeza kwa moto wa hasira yangu; nami nimeileta njia yao wenyewe juu ya vichwa vyao, asema Bwana Mungu" (Ezekiel 22:30,31).

Kwahiyo watanzania tunatakiwa kutubu na kuziacha njia zetu mbaya na kumwomba MUNGU naye ataiponya nchi yetu. Na tunatakiwa kusimama mahali palipobomoka (kufanya matengenezo) ili MUNGU asije kuiharibu nchi yetu.
 
Wala sioni cha kufurahia maana utajiri kama huu wakati kwa wengine ni neema kwetu sisi ni kama mkosi maana kadri utajiri unavyovumbuliwa ndivyo tunavyozidi kuwa maskini.
 
Hebu tuombe ndugu. Mungu ni mwaminifu atatenda jambo jipya! Kuna mnorwegian mmoja aliniambia tunafanya kazi na Tz sana maana Tanzania kuna masse gas akimaanisha gesi nyingi sana. Nilibaki tu nimenyong'onyea maana sikuona jinsi gani gesi hii inaenda kutufaidisha Watz. Ila kwa Mungu yote yanawezekana. Tuombe sana tuache kulalamika. Goliath aliangushwa kwa jiwe moja tu kinachohitajika ni uaminifu mbele za Mungu!

Kabisa mkuu MUNGU ni mwema. Neno la MUNGU linasema:-

"Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na KUOMBA, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na KUIPONYA NCHI YAO" (2 Mambo ya Nyakati 7:14).

"Nami Nikatafuta mtu miongoni mwao, atakayelitengeneza boma, na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka, kwa ajili ya nchi, nisije nikaiharibu, lakini sikuona mtu. Kwa sababu hiyo nimemwaga ghadhabu yangu juu yao; nimewateketeza kwa moto wa hasira yangu; nami nimeileta njia yao wenyewe juu ya vichwa vyao, asema Bwana Mungu" (Ezekiel 22:30,31).

Kwahiyo watanzania tunatakiwa kutubu na kuziacha njia zetu mbaya na kumwomba MUNGU naye ataiponya nchi yetu. Na tunatakiwa kusimama mahali palipobomoka (kufanya matengenezo) ili MUNGU asije kuiharibu nchi yetu.
 
Hawa wazungu tunawaaendekeza sana na wanatuibia sana. Kwenye nchi za wazungu wenzao hawafanyi huu wizi wa wazi wanaotufanyia sisi.

Kwa mfano raia mmoja wa Norway aliniambia kuwa huko kwao mwekezaji kwenye mafuta na gesi anapata 51 % na serikali inachuku 49 %. Kama huu mgao tungeutumia na hapa kwetu basi nchi yetu ingeendelea kwa sana tu. Huduma za afya zingekuwa supa, umeme wa uhakika, hakuna mtoto angesoma huku amekaa sakafuni kwenye vumbi.

Maslahi ya walimu yangeboreshwa na kuwafanya wafundishe kwa moyo wa kujituma na elimu yetu ingeboreka mara dufu. Barabara zetu zote hata za kwenda mikoani zingekuwa angalau na njia nne nne.

Tungeweza kufika mahali pa kuwapa posho hata wale wasiokuwa na kazi na hii ingeongeza usalama wa raia kwani uhalifu ungepungua kama siyo kwisha kabisa. Tuwapate wapi viongozi wa kusimama kidete na kutengeneza mikataba yenye maslahi kwa watanzania? Kwa MUNGU yote yanawezekana.

Tumwombe MUNGU aingilie kati kwake hakuna lisilowezekana. Tumeibiwa vya kutosha.

Mkuu Mashauri, hili linawezekana kabisa hata nchini kwetu kama hao (mafisadi) walio madarakani wangeweka maslahi ya Tanzania na Watanzania mbele badala ya kununuliwa kwa kupewa shares chache katika makampuni hayo na hivyo kuwaachia wachukuaji wachukue 96%/97% na kutuachia sisi kiduchu tu na mashimo chungu nzima na huku wamechafua vyanzo vingi vya maji katika maeneo yenye rasilimali.
 
Back
Top Bottom