Recent content by Jan-uary

  1. Jan-uary

    Je ni sahihi hii kauli

    Nilimkuta hayupo ❌ Nilikuta hayupo❌ Sikumkuta✓
  2. Jan-uary

    PostGE2025 Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa

    Kwahiyo Ile Who are you wameshaifuta au mkubwa hakosei?
  3. Jan-uary

    PreGE2025 Kigaila: Mkutano wa CHAUMMA umechangiwa na wadau

    Nawashukuru sana watu wawili Mbowe na Lissu. Hawa wawili wamenifumbua macho,sikuwahi kufikiria kama hivi vyama vya upinzani havina tofauti yoyote na CCM,hawa CHAUMMA vyeo nawachukia kuliko Shetani.
  4. Jan-uary

    PreGE2025 Devota Minja mkutanoni CHAUMMA, asema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi labda kuwe na vita

    Hatimaye CHADEMA wamepata chama cha upinzani, hawa Wafuasi watiifu a k a nyumbu wa Mwenyekiti ni watu hatari kuliko hata CCM yenyewe,wamecheza na akili zetu miaka kibao nasi tukaamini ni Wapinzani kweli.
  5. Jan-uary

    Ni wakati gani ulianza kutokuwa na imani na Mbowe

    Kwenye kampeni za kuwania Uenyekiti, Ndipo niliyajua madudu yake na kuacha kumuamini
  6. Jan-uary

    Nafuatilia msiba wa Msuya tangu juzi, mbona David Mathayo David hatajwi kwenye watoto wa marehemu

    Ni kwasababu ya head shape pillow mnazotumia au mnafanana tu?
  7. Jan-uary

    PreGE2025 Tume Huru ya Uchaguzi yatangaza majimbo mapya nane, Dar es Salaam yapata Kivule na Chamazi

    Wanaosema rais kafanya rais kafanya ni kina nani! Si ni hao hao Wabunge rais akifuta bunge nani atatuambia rais kafanya.
  8. Jan-uary

    Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Na kama mtoto amekuwa kilaza kwasababu ya genetics unafanyaje Mkuu utaboresha mazingira?
  9. Jan-uary

    Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Asante sana Mkuu,nimekupata vyeti vya kuzaliwa wanavyo ,Bado usia tu kwasababu nahisi kuandika usia ni kama uchuro hivi
  10. Jan-uary

    Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Kazaliwa hivyo Mkuu huwezi ukamwambia aache akaacha,ndio maana hata watoto wamerithi mama yao alivyo
  11. Jan-uary

    Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Sio ku wareject ila nataka kuongeza idadi niwe na watoto wenye akili mchanganyiko, Babu zetu walikuwa wanaoa mpaka wake 10 halafu unakuta kila mwanamke huyu watoto wake wote ni walevi, mwingine watoto wake wote wamesoma, mwingine kazaa wezi nk
  12. Jan-uary

    Kutumia nguvu kubaki kwenye nafasi ambayo hukuitafuta ni kumkosea Mungu

    Ukipata neema hutakiwi kuipigania kwasababu tu ilikuja pasipo kuitafuta? Huyu Mungu ni wako peke yako kwamba wewe uendelee kusubiri kupewa kinachogombaniwa na wenzako?
Back
Top Bottom