Natafuta mtu Mwenye uwezo wa kutengeneza web Application ambayo itakua na uwezo wa kufanya registration,login,kuweka matangazo,Calculating time/days ya kazi zitakazotolewa,na iwe na simple forum.....domain imeshalipiwa na design ya template ipo tiyari kinachotakiwa ni mtu atakae fanya coding na...