Ni aibu kutofaham kifaa kinachowaongoz ktk utendaji kazi zo wanakula kodi zetu bure ni wakati ss jeshi la polis nianze kuajili polis wenye ufaulu mzuri
Kapuku ni ww ndug yangu unayeshinda una sifu na kuabudi upate buk 7 huk wenzio wenye chama cha kijan wakihishi maisha kifahar shutka dogo utakufa maskini
Mm sihishi kwa mshahara hapa dunian mm ni mtu Tajiri na natoka kwenye familia bora sio kama wale ambao kula kwao na kuendesha maisha yao hapa dunian wanategemea chama cha kijan wakisikia watu wanadai katiba mpya wanachanganyikiwa
Kama wanaamini kweli wanakubalika CCM bac tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mm nadhani ccm haipo tena kimebaki kikundi fulani cha watu wanalinda maslai binafsi kwa kutumia plc ndo maana hawatk wengine wafanye siasa
kiti cha urais hakika ni kitamu sana lkn kuendeleea kuwa na ccm madarakani mpk 2030 litakuwa kosa kubwa tutarajie zaidi kuongezeka kwa tozo kila mahali
Jamaaa alikuwa mbinafsi sana na roho mbaya sana wenzio aliwafungia akaounti zao za mshahara mfano mbowe ila yy aliendelee kupokea mshahara kwa jasho letu watz
Hafai hata kidogo kwanza sio muumini wa siasa za ushindani tunajua alipita bila kupingwa jimbon kwake huyu anabebwa na ccm kwa sababu baba yake ni kada wa ccm lkn ktk uwanja sawa wa kisiasa kwa kuwepo katiba mpya na tume huru ya uchaguz hawez shinda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.