Mateso makubwa waliyoyapata watuhumiwa wa Ugaidi walioshitakiwa pamoja na Mbowe yanatisha, Inashangaza wamewezaje kuwa hai hadi sasa

Mkuu hao ni makomandoo.... sio wananchi wa kawaida.

Ukomavu ndio sifa ya kwanza.

Mateso ya huko sio mchezo....

Kuna jamaa alikutwa na madawa ya kulevya, akapewa kibano akawa mbishi... alipoambiwa kuna kukalia chupa ya bia, tena ina kizibo chake akaona isiwe tabu 😁 😁 😁 😁
 
Kusema kweli kila tarehe 17 ya mwezi huwa nakunywa wine na nyama choma nikikumbuka mambo makubwa makuu aliyotutendea mungu.

Ile kenge ni kuni ya kuchoma wahalifu wenzake huko iliko.
ndiyo maana mimi kila siku nakunywa wine maana mbowe inavyopigiliwa mijeredi kwa back sasahivi itatoka na mtoto furaha iliyoje na mawakili ndo wanazidi kuipeleka mbele kesi maana sasahivi ni kesi ndogo bado kesi kubwa yaannimbowe wanammaliza mawakiliwake yaanini shangwe tupu
 
Hao wameguswa hivi unafikiria mateso ni kitu kidogo bwaaaaana wacha kuleta uzi uchwara,waulize waislam wanapokamatwa
 
Siku hizi tuamue kuwapuuza watu Kama hawaunaweza kuwa unabishana nao jukwaani kumbe unabishana na shetani. Imagine wanatengeneza uongo halafu wanaenda kuapa kwa jina la mungu na BIBLIA au Quran imagine watu Hawa walisema lissu kajipiga risasi mwenyewe Sasa unabishana na Hawa sio watu siku hizi tuwapuuze imagine mtu anatamka macho makavu kwamba mbowe anyongwe tu lissu akija Tena tutamuuwa Hawa sio binadamu kabisa am telling you stop arguing with with them thru you they're gaining undeserved mileage.
Mkuu una akili timamu ? ni bora nijiridhishe kuhusu akili yako kwanza kabla sijakushushia nyundo
 
magaidi hayo bila kuyafinya unafikiri yangesema ukweli mpaka kumtaja mbowe na alivyowatelekeza wakaamua kumwaga ukweli wacha waozee jela na mbowe mwenyewe jela tuu
Ujue wewe jamaa nakuombea siku moja yakukute ..wewe unashangilia MTU kuteswa. SASA wametaja umefaidika na nini. Usipandishe watu hasira WALIO tesa kwani mwisho wao niipi? IPO siku nawao watesi yatawakuta
 
Ukiona Erythrocyte anatoa vitisho vya namna hiyo ujue anayo bisbis.
Unyama kama huo ukionekana,basi kesi lazima iwe called off.
 
Wanaotakiwa wawape maji ni waliowabambikia kesi. Muwabambikie kesi kisha mtake wengine wawape maji?
Mkuu kwa Mungu sisi wote tupo sawa, kuwatendea wema kwa kuwapa maji kama anavyopewa mwenyekiti sio kosa.
 
Unavyoiongelea hii kesi kama vile una utaalam wa masuala ya usalama.

Unakumbuka Komandoo Tamimu alitumia silaha gani kupambana na risasi za akina Mabere Nyaucho?

Iache mahakama ifanye kazi yake, mnapambana kuishinikiza iwe upande wenu.

Chupa za bia!

It’s only funny if you can imagine it!!
 
Mabaki ja Meko
Tatizo wafuasi wa chadema hawajui kipi wakipiganie na yupi wapambane naye,mwanzoni mwa utawala wa SSH waligeuka kuwa wasemaji wake sasa mambo Ni magumu kwao wanaanza kulia na kulalama mama awasamehe,Mara masalia ya Magufuli,sasa ninyi adui yenu Ni yupi?,Samia,masalia ya Magufuli, CCM au sukuma gang ?

A rolling Stone gethers no moss!!
 
Adui wa Taifa letu ni ccm
 
Baadhi ya Picha za makovu ya watuhumiwa wa Ugaidi wanaoshitakiwa pamoja na Mbowe zimeanza kuonekana hadharani , hawa watu waliteswa kinyama ! Hii nchi haikuwahi kufikia unyama kama huu , tena kwa tuhuma za uzushi zilizojaa uongo mtupu ! kisa ni Kumkomoa Mbowe , Inasikitisha sana !

Tunaomba radhi kwamba hatutaweza kuwaonyesha picha za majeraha yote , kutokana na Maadili ya Kitanzania kwa vile majeraha mengine yako maeneo yasiyoruhusiwa kuwekwa hadharani , bali itoshe tu kusema kwamba KILA ALIYEHUSIKA NA UNYAMA HUU AWE HAI AU AMEKUFA ATALIPA .

View attachment 1946196
Huu Ukiukwaji wa haki za binadamu haikubalik
 
Inshalllah bado wana afya tele
 
Back
Top Bottom