Recent content by jamii01

  1. jamii01

    System Administrator/Assistant Administrator

    The System Administrator will be responsible for the day-to-day management, support and maintenance of the company’s IT infrastructure. This role involves ensuring that servers, systems and related infrastructure run efficiently and securely to support business objectives. The ideal candidate...
  2. jamii01

    Sales & Marketing Officers Positions

    Company deals with alcoholic drinks. Location: Dodoma(5 post) Kahama(3 Post) Mbeya(3 post) Mwanza (3 post) Arusha(2 Post) Key Responsibilities: Identify, approach, and convert prospective customers. Understand client needs and recommend suitable items from our...
  3. jamii01

    Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

    Pesa zinazotumika ni za walipa kodi watupe mrejesho faida ya yeye kushinda au kishindwa WHO au isije kuwa ya Odinga Binafsi nimemjua Janabi baada JPM kurest in Peace. Kama wanampenda sana wampe uwaziri
  4. jamii01

    Projects and Investments Officers

    Qualification and experience. -Holder of a Bachelor degree in Project Management, Investment, Business, or any related field. or equivalent. -Demonstrated knowledge in Computer Application is a MUST -Demonstrated knowledge in Land Laws is an added advantage -Must be fluent in both English and...
  5. jamii01

    Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

    hiyo ni gono nenda hospital utapewa dawa za kumeza
  6. jamii01

    Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

    Mkuu pole sana..wapo wanaopitia magumu katika ndoa zao kuliko wewe..Muhimu mwachie vyote anza maisha upya. Wanawake huwa wanabadirika sana na si watu wa kuwamini hata kidogo hadi huwa najiuliza ndio huyu niliyekuwa natoka jasho kwa ajili yake au ni Mwingine? Changamoto pia sheria zetu za ndoa...
  7. jamii01

    Msaada mtoto wa miezi 6.5 hatambai wala kumove

    Jaribu huwe unamfanyia mazoezi ya viungo muhimu ni kusimama na kutembea.. mtoto wangu alisimama na kutembea hatua ya kutambaa hakuipitia..
  8. jamii01

    DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

    Hapo ndio utaona tofauti ya akili ya maskini na Tajiri..
  9. jamii01

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

    Huku Rais akienda korea,Serikali itoe ufafanuzi kwa nini watanzania wananyimwa Visa ubalozi wa korea.mfano Mtanzania anayetaka kwenda Korea kwa safari ya biashara inatakiwa hawe na kiasi kisichopungua mil.100,000 Tsh. badala ya $10,000 iliyokuwa ikitakiwa hapo awali. Mtanzania anayeta kwenda...
  10. jamii01

    Tetesi: Serikali yashindwa kulipa wakandarasi, mradi wa SGR Mwanza wasimama

    Kwa ufupi mpaka sasa mradi umesimama hakuna fedha..na huu mradi umeanza kusua sua miezi 6 nyuma
  11. jamii01

    Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Mama nasafiri kwenda Korea kuombea wasanii wetu kwenda kujifunza kuigiza..badala ya kwenda kuomba makampuni makubwa ya kikorea kuja kuwekeza.
  12. jamii01

    Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Mama nasafiri kwenda Korea kuombea wasanii wetu kwenda kujifunza kuigiza..badala ya kwenda kuomba makampuni makubwa ya kikorea kuja kuwekeza.
  13. jamii01

    Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

    Hapo Makonda ndio unapowaumiza viongozi wenzie..kuna mikoa ya Dar es salaam na Mwanza kuna changamoto kibao lakini viongozi wapo tu kuzunguka na magari na Ving'ora. Wamemzima kwenye Uenezi ameibukia Arusha..Media zote ziko Arusha kwa Makonda.
  14. jamii01

    Kama hujajiandaa kuingia kwenye ndoa usiingiee kabisa

    Kwa uzoefu wangu wa ndoa miaka 15 sasa ,sishauri kijana kuoa nikutafutiana magojwa bure,ndio maana wanaume wanakufa mapema kabla ya wanawake kwenye ndoa..Tazama wajane jinsi walivyowengi. Njia sahii ni kuwa mpenzi wake mwanche aishi kivyake na na wewe kivyake na kila mtu ampe mwenzake uhuru...
Back
Top Bottom