Recent content by JAMII-ASM

  1. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Rais hashauriki au hafikishiwi ushauri; Bombadia moja "imekufa" Mwanza, ATCL inajigamba kuleta Dreamliner

    Swala la fleet commonality in kama hulijui.. Kimsingi Atcl itakuwa na ndege kutoka kampuni mbili tu. Bombardier na Boeing..elewa Dream liner ni Boeing 787..na Cs300 pamoja na Q400 hizi ni bombardier.Moja ni short range kwa ajili ya soko la east Africa..nyingine ni medium range kwa ajili ya...
  2. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Kifaa kipi ni zao la mtanzania ambacho kinatumika duniani kote?

    Erasto Mpemba effect..huyu kama angekuwa mzungu basi hata coca cola leo ingeitwa erasto cola.
  3. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Nipo tayari kupima DNA na mwanamke aliyedai nimezaa naye

    Cha kwanza akapime blood group ya mtoto , akiona zinafanana na ya kwake basi na apime DNA.
  4. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Monotheism au kumuabudu Mungu mmoja haikuanza na waarabu au wayahudi..Ilianza Misri..chini ya utawala wa mume wa Nefertiti...yaani Akhenaten..yeye alivunja sanamu zote ..akajenga mji mpya ..akauita Akhetaten ...mji uitwao Amarna na waarabu wa ukoo wa Amran.. Akhenaten aliweka alama moja tu ya...
  5. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Historia inajirudia....na sasa tunae Princess MEGHAN MARKLE.......
  6. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Sio kiswahili...ni kijerumani..kireno na kiarabu..
  7. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Si kweli..Neno FIRAUN ni kiarabu. Na kwa kifaransa ni PHARAON..!
  8. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Hi ni hatari ni kama alama ya KEY OF THE NILE! THE ANKH.. Ni msalaba kabla Yesu hajazaliwa.
  9. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Wengi wanaamini '' Mandela was a sell-out ''..kaacha waafrika wakiwa wanamiliki asilimia 30 ya ardhi ya babu zao. Suala la kuua weusi linafahamika na lina ushahidi mwingi.
  10. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Yuko sahihi. Naona unabishana na historia.
  11. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

    Great insight. Historia ya Africa bado inafichwa sana. Sababu kuu ni ubaguzi na kutoamini kuwa maendeleo ya kisayansi yalianzia Afrika.
  12. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atinga benki ya CRDB leo asubuhi, azua taharuki

    Naona kaamua kwenda kuchukua mwenyewe.. Si unajua ..ukimtuma m'bongo hakawii kuweka cha juu.
  13. JAMII-ASM

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Jihadharini na epukeni na huu mtandao wa peperonity ni hatari

    Hivi watanzania tuna matatizo ganii..yaani tukionywa hatutaki..tusipoonywa tunalalamika..ooh wanaojua kwanini hawakutustua.. Mi nafikiri wanaokupiga vita ni wadau flani wa hii kitu ..peperonity.
Back
Top Bottom