Naibu Waziri Wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amezindua sheria na kanuni za urutubishaji wa chakula ya mwaka 2024 ambao umefanyika katika ukumbi wa chandamali manispaa ya songea.
Katika uzinduzi huo umelenga kuongeza virutubisho muhimu kwa kuimarisha afya na kupunguza...
Kupenda kupewa vya bure na watu wa njee ni kuonyesha ni umaskini na pia chochote unaweza pewa ili chamsingi ni kupambana na tulichonacho tusaidiane wenyewe misaada ya nje ina conditions nyingi na hao hawawezi toa msaada bila kunufaika au kutaka kitu fulani na hapo ni kutaka kuaribu kizazi chetu...
Ukilinganisha zamani na sasa utaona Iringa matukio mbali mbali yameongezeka ya ukatili dhidi ya watoto wanawake na wanaume pia ukifuatilia utakuta mwaka 2023 desember, 7 Mkuu wa mkoa wakati huo aliweka kuwa ajenda ya kudumu ili kuweza kutatua tatizo hilo.
Sasa,
Kwa upande wangu nilitaka tu...
Takwimu zimeonyesha iringa imeongezeka kwa kiasi ukatili wa kinsia.
Ni sabubu gani zinohisiwa kuchochochea ukatili wa kijinsi?
Nini kufanyike ili kupunguza ama kutokomeza ukatili wa kijinisia?
Maoni ilikupunguza ukatili wa kijinsia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.