Recent content by jamesjones

  1. J

    Mshangao!..MRI na CT scan zaharabika tena

    Ndiyo maana..... Alikuwa anachekaaaaaa
  2. J

    Majungu ya Kigwangalla kwa Dr. Mwaka sio jambo zuri

    Tatizo nini, kaambiwa atie timu ofisi kwa waziri a kiwa na vyote hivyo. Mrahaba au mrejesho utajulikana
  3. J

    Natamani kukutana na Dr. Slaa baada ya uteuzi wa baraza la Magufuli

    Mwakyembe, na ile kesi kule mby, wala asiwaumize Kichwa.
  4. J

    Halmashauri zijenge shule za "English Medium" kukidhi haja ya wananchi

    Kwa kweli wenye shule za English medium ni aina ya majipu. Shule ina mihula 3 kila muhula Laki Sita. Bado usafiri. Kweli wizara ifanye Jambo kabla ya Januari
  5. J

    Kamati kuu (CC) ya CCM yampongeza Rais Magufuli, yamtega...

    Nimefurahi kumuona Salim A. Salim. Mungu azidi kumtunza mwanadiplomasia huyu. Ni mfano wa kuigwa.
  6. J

    MwanaHalisi: Kikwete akomba hazina! Fedha zilizopo hazitoshi kuendesha serikali hata siku 20

    Sherehe hazijafutwa, hakuna pesa, hazina hamna michuzi
  7. J

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Eti suruhu ni kila mmoja atumikie miaka miwili na nusu. This is Demo-crazy
  8. J

    Pongezi kwa Said Kubenea na familia yake! Hongereni kwa wanamabadiliko

    Sita na mama Sita, wote walikuwa wabunge, pius msekwa na msekwa, rais na mtoto mbunge kwao,
  9. J

    Uteuzi Waziri Mkuu mtihani mkubwa kwa Rais na chama chake

    Mwakyembe ni risk. Mabehewa na kishfa wanayoanza nayo ukawa
  10. J

    Samwel Sitta na Azan Zungu kuvaana uspika wa Bunge

    Wakimpa Sita, nitawashangaa watanzania na katiba yao ya walioba
  11. J

    Wanafiki waanza kujipendekeza kwa Magufuli

    Dr Siraa atachomokea hapa. Tusubiri
  12. J

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Eti hakuna mihuri, ipo njiani, kunduchi kituo cha mtakuja
  13. J

    Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Kunduchi, mtakuja zoezi bado, saa tatu hii. Watu wamechoka
Back
Top Bottom