Recent content by James_M.M

  1. James_M.M

    Madereva wasitisha mgomo: Kero zao kutatuliwa ndani ya siku 7

    Hicho kifaa unachotimia kuandikia hakina sehemu ya kuacha space au ndo uwezo wako wa kuandika umeishia hapo? Nipita tu!!!!
  2. James_M.M

    Nauona Ugumu wa kupambana na CHADEMA

    Utajua mwenyewe we tulia dawa ikuingie ukikombolewa ndo utahoji si mmezoea maisha ya kulamba watu miguu siku iende Chadema kazi ni moja kukukomboa wewe usiyejijua uliyeelemewa na mizigo chadema itakupumzisha lakini km dhambi zako ni nyekundu hapo ndo utatuambia kwa nn ni nyekundu.
  3. James_M.M

    Mbowe amtega Kikwete Sherehe za Muungano

    Kichwa mbofu kabisa huyu jamaa Kweli ni msalani!!!!
  4. James_M.M

    Haijawahi kutokea chama cha upinzani kabla ya uchaguzi mkuu tangu mfumo wa vyama vingi uanze

    Hahahaaaaa!!!!!! Magamba yanahali mbaya mtakoma Ukawa umewapa kiwewe mliambiwa mapema via gamba vas gwanda hamtaki acha mpumlie mashine ukawa Ponda vichwa vya magamba.
  5. James_M.M

    Kiukweli, Zitto ndiye aliyeinyanyua CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani

    Acha kudanganya watu wewe,Zito hajasaidia chochote uliza watu wa mwanza upate habari kamili maana Zito kipindi cha kuelekea kampeni alikuwa Mwanza na ratiba ilikuwa anaenda kuhutubia mkutano mabatini dakika za mwisho kwenda mkutanoni akabadili ratiba akasema anaenda Musoma na baadae ilibainika...
  6. James_M.M

    Lowassa katika ubora wake leo asubuhi

    Afadhali wewe unajitambua kuwa ni mafisadi na mnalindwa na dola but mwisho wenu october kitaeleweka.
  7. James_M.M

    Huyu ndo Rais mtarajiwa wa awamu wa 5 ambaye watanzania wanamhitaji sana

    Huwataki na nani? Sema humtaki kiswahili kigumu nn?,But kaa ukijua Chadema ni mpango wa Mungu subiri aibu yenu na maccm yako.
  8. James_M.M

    Kumbe ishu haikua Pengo bali ni Lowassa kuzindua Helikopta ya Gwajima!

    Hapana sio kuwa matusi yamehalalishwa swala ni vp Makonda katukana watu hadharani hajachukuliwa hatua yoyote au tuseme alikuwa kwenye mlengo wa kisiasa? But km ni hivyo hawa ni viongozi wa madhehebu na Pengo hajashitaki popote kasema amemsamehe vp kwanini Makonda nae asishughulikiwe maana hata...
  9. James_M.M

    Mkutano wa ACT - Wazalendo viwanja vya Furahisha Mwanza

    Zito nitamuona mpizani km atajikita zaidi kuelimisha wananchi elimu ya uraia na wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura but sio kuingia kurumbana na vyama vingine vya upinzani mbaya wo ni Ccm ko watuelimishe kuhusu madudu ya Ccm cha kushangaza Ccm ndo wanaratibu mikutano yake bado...
Back
Top Bottom