Recent content by james96

  1. james96

    JamiiForums Tanzania Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

    fact mkuu. mimi npo na harrier hyo hyo. ikiwaka taa sina stress najua nna km almost 40 mbaka 50 za kutembea kulingsna na mwendo wangu.
  2. james96

    JamiiForums Tanzania Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

    HYO GARI ITAKUWA NA SHIDA. MIMI NINAYO NIMEINUNUA LAST YEAR MWEZI WA 6. REG DWE. ULAJI WA MAFUTA NI WA KAWAIDA TU. MJINI LITA MOJA KWA KM 9 NA SAFARINI LITA 1 KWA KM 12.5 MBAKA 13. UKITAKA KUIELEWA GARI YAKO ITUNZE VIZURI IFANYIE SERVICE YA KUTOSHA. NJOO MOROGORO MJINI HAPA NIKUPE UFANYE TEST...
  3. james96

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikifanya maombi ya chuo kikuu kupitia diploma lazima niwe na verification number toka NACTE?

    Mimi nimeapply tarehe 17 na nimepata siku hiyo hiyo bure bila malipo yoyote.
  4. james96

    JamiiForums Tanzania wale wa rubya health training institute

    Umechaguliwa second selection mkuu? Unapiga diploma au cert ya c.o
  5. james96

    JamiiForums Tanzania wale wa rubya health training institute

    Nmeshakutumia ingia gmail utaiona
  6. james96

    JamiiForums Tanzania wale wa rubya health training institute

    Nakutumia kaka hata mm nimechaguliwa hapo Diploma clinical medicine Ila tarehe ya kuripoti ilibadilishwa kutokana na earth.quake xo tutaripoti tarehe 17/10/2016
  7. james96

    JamiiForums Tanzania wale wa rubya health training institute

    Ningeiweka but ipo kama kitabu ina kurasa 17 xo ntumie email yako nkurushie ya g mail. Kupitia 0717817345 na kwa yeyote yule anayeihitaji. Pia inapatikana kwenye website yao yaani www.rhti.ac.tz Ila siku mbili hizi aifunguki nazan kuna marekebisho wanafanya.
  8. james96

    JamiiForums Tanzania wale wa rubya health training institute

    Umechaguliwa kwa kozi gani hapo?
  9. james96

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa walioomba application awamu ya pili NACTE yatatoka lini?

    Aaah sawa kaka. Vuta subira nazan hadi kesho kila kitu kitajulikana hapo
  10. james96

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa walioomba application awamu ya pili NACTE yatatoka lini?

    Ww ulichagua kozi gani na ngazi ipi(cheti au diploma)
  11. james96

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa walioomba application awamu ya pili NACTE yatatoka lini?

    Hapana mm ni first selection kaka
  12. james96

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa walioomba application awamu ya pili NACTE yatatoka lini?

    Kila chuo kina tarehe yake ya kufungua mfano mm nmechaguliwa Rubya health training institute na tunalipoti tarehe 19 ila masomo rasmi mwezi wa 10 nazani
  13. james96

    JamiiForums Tanzania Msaada: Aliyesoma records management ngazi ya diploma anaweza kusoma degree ya ualimu?

    Je mtu aliyesomea records management ngazi ya diploma na kupata GPA ya 4.1 anaweza soma degree ya education?
  14. james96

    JamiiForums Tanzania Je chuo cha Rubya health training institute kinatoa elimu bora?

    Mm nmechaguliwa huko npo morogoro
Back
Top Bottom