Nimeanza kujutia kura yangu. Hivi kwa nini tuishi kwa kutishiana miaka hii? Kwa nini tuishi kwa hofu kama tuko utumwani? mweshimiwa rais Bíblia inasema heri mboga mbichi penye amani kuliko ng'ombe aliyenona pamoja na chuki ni vizuri uache watu wawe huru kukosoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.