Recent content by James fred

  1. J

    Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

    Kumbuka mtu anayebaki kwenye historia na aliyebaki na maisha yaliyopo asiwiwe na mambo mengine ya baadae basi mtu huyo ajue hawezi pata maendeleo kama wewe, kumbuka phylosophers wengi wamepita lakini bado tumeainisha mapungufu yao sasa sembuse baba wa taifa yeye? dont be stugnant in idiology
  2. J

    Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

    Kumbuka mtu anayebaki kwenye historia na aliyebaki na maisha yaliyopo aiwiwe mambo mengine ya baadae basi mtu huyo ajue hawezi pata maendeleo kama wewe, kumbuka phylosophers wengi wamepita lakini bado tumeainisha mapungufu yao sasa sembuse baba wa taifa? Y yeye dont be stugnant in idiology
  3. J

    Land Surveyor anahitajika haraka

    Samahani kaka naomba tuwasiliane kwa namba 0759717274; au fanya kunitumia namba yako
  4. J

    Ajira kutoka Serikalini Wizara ya Kilimo na Elimu

    Wahitimu wa shahada na stashahada ya kilimo wamekuwa na uhakika kuhusu kuajiriwa na serikali, lakini wengi wamekuwa na shaka na pia kukosa uhakika sana kuhusu hizo ajira na isitoshe wameshindwa kujiajiri kutokana na kukosa mitaji. Lakini langu ni kuomba tuchangie hapa. SERIKALI IMEKUWA NA DENI...
  5. J

    Mshahara wa Post Graduate Diploma na Masters zinalingana?

    Jamani naomba tusaidiane, kwa nafasi za ajira zilizotangazwa na serikali mwaka 2013 katka sekta ya kilimo zina ukweli wowote manake tangu mwaka 2012 hawajaajiri tu. Je na deni kubwa la nchi, na maandalizi makubwa ya kampeni zangazi mbalimbali serikalini, mnadhani kuna kuajiliwa hapa? Nasi...
  6. J

    Mwanamke anaeolewa akiwa bikira ana mapenzi ya dhati kwa mumewe kuliko

    Ki ukweli, bila wanaume wasichana bikra wangekuwepo wengi sana, na pia bila wanaume na ushawishi wa fedha, chips kuku, na kuwanunulia nguo basi hao tunaowaita wanawake vicheche wasingekuwepo na pia ubakaji na mapenzi ya kulazimisha basi wasichana mabikra wangekuwepo wengi sana, HIVO NAOMBA...
  7. J

    Wanawake wa Kihaya.

    Ah! Asanteni wote masela kwa story mbalimbali kuhusu mwanamke wa bukoba, Je? Katerero haiwezekani kwa wanawake wengine mbali na wahaya? Tafadhali naomba msaada kwa wanaojua jamani
Back
Top Bottom