Recent content by James 25th

  1. James 25th

    Private driver

    Sawa mkuu
  2. James 25th

    Private driver

    Habari ya wakati wakuu, natumai mnaendelea vyema. Tangu jamiiforum kuzuiwa, hii ni post yangu ya kwanza, Hivyo napenda kutumia mda huu kutoa pole kwa wale wote walio kumbwa na majanga ya October 29, 2025. Wapo walio poteza wapendwa wao/ walio poteza mali, kikubwa Mwenyezi Mungu azidi...
  3. James 25th

    Dereva binafsi (private driver)

    Asante cocastic
  4. James 25th

    Dereva binafsi (private driver)

    Inamaana ukiwa na B,D unaweza pata Ajira kwenye mfumo wa serikali?
  5. James 25th

    Dereva binafsi (private driver)

    Kweli kabisa Irenga hua naziona na serikali wanajitahidi sana, ila Bado Kuna coz inabidi nizisime zaidi niwe na qualifications yakuomba kupitia Ajira portal.
  6. James 25th

    Dereva binafsi (private driver)

    Habarini Wana jamii forum. Kwa majina naitwa JOSHUA E JAMES, Mimi ni Dereva kwa mda mrefu Sasa nikibezi kwenye upande wa gari ndogo za watu. Nimekua nikifanya KAZI kwenye office mbalimbali kama Dereva wa office kwa Ajira ya kuendesha ma Boss, pia nimekua nikiwaendesha watu Binafsi/ Dereva wa...
  7. James 25th

    FOR EMPLOYERS

    JOSHUA JOBS AGENCY ATTENTION EMPLOYERS! We have skilled and experienced candidates available for immediate employment in the following positions. If you're looking to hire, don't hesitate to reach out to us: 1. Shop Attendants. Available in: Dar es Salaam (1), Iringa (1), Dodoma (1), Mwanza...
  8. James 25th

    Joshua Jobs agency

    Habari!! JOSHUA JOBS AGENCY, inapenda kwawashukuru wale wote ambao wameendelea kushilikiana nasi katika utoaji wa fursa za Ajira za mda mfu na mrefu kwa vijana mbalimbali nchini Tanzania kupitia (Joshua jobs Agency). Tunaendelea kuwakalibisha wa Tanzania wote/Taasisi, wenye fursa mbalimbali za...
  9. James 25th

    Nimepigika nisaidie mawazo

    Pole sana kwa changamoto...ila nafurahi kua Kuna jambo umejifunza moja kuanamipango sahihi unapotaka kutoka sehem moja kwenda nyingine kisa masilahi, pili tambua life halina huluma... nikupambana, tatu usiamini kwenye kupoteza (amini ni changamoto kama changamoto zingine). Kuna vitu vijana...
  10. James 25th

    Kiwango Cha Wanafunzi wanaofeli "DISCO " Chuo Kikuu Kinatisha Licha ya kwamba Walifaulu A Level Kwa Maksi za Juu

    Sijajua mkuu wewe upo upande upi mkufunzi/ mwanafunzi wa chuo/mdau au upo kwenye Research. Kwanza, je? Niwanafunzi wangapi hujiunga na vyuo Kila mwaka.. vyuo vya umma na binafsi, Kwanini, wafeli idadi hiyo unayoitaja na wengine wafuzu. Kwa waliosoma chuo/vyuo (Yani wahitimu WAMIAKA iliyopita...
  11. James 25th

    Kwa waajiri na watu wenye fursa za kazi

    TANGAZO KWA WAAJIRI – FURSA ZA AJIRA ‎ ‎Unahitaji wafanyakazi wenye weledi, waaminifu na walio tayari kuanza kazi mara moja? ‎Joshua – Jobs Agent inakuletea suluhisho rahisi, la haraka na la uhakika kwa mahitaji yako ya wafanyakazi. ‎ ‎Tunawaunganisha waajiri na: ‎✅ Madereva ‎✅ Wahudumu wa...
  12. James 25th

    Naitaji ajira

    Tafuta namna nzuri yakuwasilisha, shida yako iliupate wakukusaidia... (Namna nzuri ya uandishi ilyo jaa hekima na Busara)... Unaweza ukawa na CV nzuri kielim ila vitu kama mazungumzo vikatilia shaka uwezo wako na UAMINIFU. By, Joshua (Agency)
  13. James 25th

    ARGENT JOSHUA

    Mbona sijaona mtu aliyeomba Boss.
  14. James 25th

    ARGENT JOSHUA

    😃😃 Nitumie pesa kidogo sweety Boss
  15. James 25th

    ARGENT JOSHUA

    IPO pia kwakiswahili mkuu.
Back
Top Bottom