Recent content by JamboJema

 1. JamboJema

  Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

  Denis denny na ndo sababu ameileta humu kwani ni kwamba simu ilikatwa. Ingekuwa aliikata hamu ya mwandishi humu usingemuona
 2. JamboJema

  Maswali magumu kuhusu kifo cha polisi

  Pasco kanena vyema. Matukio mengine taarifa inatoka ndani ya saa, hii ni siku kadhaa, kujipanga?!!
 3. JamboJema

  Naomba Ufafanuzi Mwigulu Nchemba kuvaa sare za jeshi la Polisi

  ....kina Masanja walihojiwa kwa hili
 4. JamboJema

  Lowassa amezuiwa na Jeshi la Polisi kufanya kikao Rujewa

  Sijui hata nimesoma kitu gani kwenye post hii. Naomba nisi- comment
 5. JamboJema

  Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

  Tunashtukizia kwenye UKUTA
 6. JamboJema

  Taarifa kutoka ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu operesheni UKUTA

  Una maneno yenye kuudhi wengine huku yakituchekesha watazamaji. Kula 'like' sio kwa kuunga mkono ila kwa kuniongezea siku za kuishi naturally.
 7. JamboJema

  Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

  Nani kasema hakuna taa? Zipo ila alopost anataka ku portray kuwa zimewekwa kwenye barabara ya vumbi. Huu ni uongo ambao kama kweli umepita na ukawa makini picha hii imechezewa. Nipo Chato kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Nipo, sijapita
 8. JamboJema

  Mzee Jumbe ausia asizikwe Kiserikali

  Kwahiyo hakuna mapumziko?
 9. JamboJema

  Hongera Yericko: Ikulu ihamishwe ndani ya miezi 18

  Ulizisikia sababu alizozitoa au unabishana tu?
 10. JamboJema

  Kigoma: Waliosimamishwa na Waziri mkuu walirudishwa kazini

  Aliyewasamehe ni Zito au kamati ya madiwani? Mbona maamuzi ya wengi tunayafanya yaonekane ni ya mtu mmoja? Kama Zito aliwaburuza madiwani wote basi mliokota magalasa
 11. JamboJema

  Namtabiria mkuu Mwigulu kuandaliwa kumrithi mtukufu wetu

  Msituchafulie mawe na barabara zetu tena...
 12. JamboJema

  Mh Rais, achia pesa tunakufa njaa mitaani huku

  Kuna mwanamziki(?!) mmoja aliimba 'Magu waoneshe maujuzi, si walikuchagua wenyewe..... Vunja hata ikulu...
Top Bottom