Recent content by jamal seif

  1. jamal seif

    Wale wasichana 'wanaomegwa' na wazungu

    Bila kusahau wazungu ni waumini wa kubwa sana wa mtandao pendwa 0713 sasa sijui wanahimili vp hv vishindo
  2. jamal seif

    Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    Nawasalimu wote wanajukwaa wenzangu kwanza nianze kwa masikitiko makubwa sana kwa jinsi bodi ya mikopo inavvyo tufanyia sisi watoto wa masikini. Chuo nilicho chaguliwa kinafunguliwa kuanzia jumatatu alafu mpaka hivi sasa sijajua hatma yangu kuhusiana na suala la mkopo. Nina andika haya kwa...
  3. jamal seif

    Ufafanuzi: Bodi ya mikopo haijatoa majina ya waliopata mikopo kwa 2015/2016

    hiyo taarifa mbona sijaiona kwenye page yao hebu nipe jina la hiyo page
  4. jamal seif

    Waliochaguliwa ardhi 2015/16 na taarifa za kuripoti na kila kitu

    jifunze kutoa link vizuri link hii hapa http://www.aru.ac.tz/images/documents/pdf/adverts/CANDIDATES%20SELECTED%20FOR%20UNDERGRADUATE%20ADMISSION%202015-2016.pdf
  5. jamal seif

    Mzumbe na ardhi tatizo nini?

    mimi nilichagua udsm 2 ardhi 2 na mzumbe 1 sasa udsm tayari wamekwisha toa bado mzumbe na ardhi yaani hawa jamaa wanazingua sana sio siri
  6. jamal seif

    Mzumbe na ardhi tatizo nini?

    hawa jamaa wanatupa stress sana
  7. jamal seif

    Mzumbe na ardhi tatizo nini?

    Vyuo vingi sana vimekwisha toa post najua tupo wengi sana tunao subiri post zao. Tafadhali naomba waziachie mapema ili sisi watoto wa masikini tujue tunajipanga vipi? Mnatuacha na mawazo sana kwa sababu hatujui hatma yetu mpaka sasa. Tunaomba mtukumbuke jamani kama wapo wahusika nina imani...
  8. jamal seif

    udsm; NI KWELI WALIO CHAGULIWA UDSM WAMEANZA KURUSHIWA MAJIBU YAO KUPITIA E MAIL ZAO?

    duh hii hatari sisi wengine mpaka sasa kimya tu kwenye e mail zetu
  9. jamal seif

    udsm; NI KWELI WALIO CHAGULIWA UDSM WAMEANZA KURUSHIWA MAJIBU YAO KUPITIA E MAIL ZAO?

    mbona wanatuchanganya hawa kwa nini wasinge tutaarifu kupitia account zetu za tcu
Back
Top Bottom