Ni kweli hawa wachina watasaidia kwa kiasi fulani gharama za Dstv ziko juu hata mimi niliwapigia simu wakanipa maelezo lakini tofauti iliyopo mbona wanasema bei zimetofautiana kwa baadhi ya maeneo? kwani kunamaeneo mengine inaanza 120,000/= mpaka 170,000/= kwa hapahapa jijini minafikiri...