Recent content by Jalugisu

  1. J

    Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

    kiukweli waboreshaji wa mitaala ni wengi ,ninachoona hapo ni kwamba hawa watu wa TET wamejiona wao ndo kila kitu,hawataki kushauriwa,inabidi vitabu kama hivyo kwa mara ya kwanza baada ya kuandaa script wanatakiwa wawatumie waboreshaji wenzao wa mitaala kupima usahihi kwa maana kuwahusisha...
  2. J

    Kwanini wanaume wengi hawajui kiingereza?

    wanaume wa kitanzania hawapendi kuongea ongea kiingereza kama wadada wafanyavyo tena ukitaka ugomvi na mwanaume wa kibongo au mshikaji tuu mwongeleshe kiingereza atakumaindi balaaa, pia wengine ikifika swala la kiingereza anakuacha ujiongeleshe, kubwa zaidi na la kitaalamu ni kuwa practice...
  3. J

    Invest in yourself through reading books

    NAMI NAVIHITAJI MKUU, jasangalugisu@gmail.com
  4. J

    Choo cha jumuiya

    utamaduni wa kujali vyoo hutofautiana na makabila,tabia, na utamaduni, niliwahi kusikia kuwa wachina hawatofautishi sana kinyesi na chakula,kwa maana kwamba unaweza ona chakula anapikia kwenye chumba ambacho ni jiko pia choo kwa maana hiyo maji machafu ya kuoshea labda vyombo au mikono...
  5. J

    Hii taarifa ni ya kweli au ndiyo mambo ya mitandao.

    uhakiki ulikuwa wa vyeti wa kidato cha nne,sita, na ualimu au utaalam?
Back
Top Bottom