Recent content by Jallen

  1. Jallen

    Kanisa la Roma limenifundisha kuwa Biblia siyo kauli ya mwisho!

    Huu ndio ukweli, kanisa linagawa miaka kwa kuipa majina Mwaka A, B na C. Baada ya miaka hiyo mitatu unakuwa umesoma Biblia yote.
  2. Jallen

    TANZIA Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia

    Wote hao wameshatangulia mbele ya haki
  3. Jallen

    TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

    RIP Padri Canon, Brig. Jeneral, Jaji Ramadhani
  4. Jallen

    Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

    Naiona Tanzania ikiwa zaidi ya Zimbabwe. Huu mfumuko wa bei ndio umeanza kuelekea huko. Unga wa mahindi kg 1 ni Tsh 2000 na zaidi kwa baadhi ya sehemu.
  5. Jallen

    Ilianza balozi kutoa ONYO, likaja baraza la Congress, sasa Ikulu ya Marekani ila Kiburi, majivuno yatazaa Vikwazo vya kiuchumi kujiona sisi matajiri

    Hao USA watusubiri miaka mingine 10 waone kama hatutakuwa tunawapa misaada. Tanzania ni tajiri bwana, Alaaa.... huko kwao hatuendi
  6. Jallen

    Waziri Kigwangalla: Walishindwa kuniua wakati ule! Naingia vitani kwa silaha zote na vita ni asili yangu

    Tunasubiri toune hiyo vita itakuwa na ukubwa gani? Umenikumbusha yule waziri wa Sadam Husein
  7. Jallen

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kumekuwa na katika katika ya Umeme kwa muda mrefu bila taarifa. Maeneo mengi ya jiji la Dar Umeme unakatika kuanzia asubuhi hadi jioni. TANESCO tufahamisheni kama ni matengenezo ya kawaida ni mgawo ili tuwe na ratiba. Huo Umeme mnaojivunia nao kwamba upo wa kutosha uko wapi? Sent using Jamii...
  8. Jallen

    Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Nashukuru kwa ufafanuzi. Nitaweka maelezo vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Jallen

    Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Nashukuru ndugu kwa kunielimisha. Lakini sijajua hoja ya utapeli imeingiaje hapo. Siyo kila anayeuza anakuwa tapeli. Lugha nzuri inakufanya uonekane msomi zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Jallen

    Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Ukubwa ndio unatofautisha shamba na kiwanja Ndugu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Jallen

    Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Mmiliki Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Jallen

    Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa kipo Jijini Dodoma -Swaswa, Mtaa wa Kidongo Chekundu. Ukubwa wake ni 25 × 30 Bei 7M. Maongezi yapo Hakijapimwa. Mawasiliano. 0716 979912 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Jallen

    Jimbo Katoliki la Mbeya lapandishwa hadhi kuwa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya

    Jimbo kuu ni Jimbo kiongozi (Archdiocese ) linaongoza majimbo kadhaa chini yake. Tunaita Kanda au Metropolitan. Askofu wake anaitwa Archbishop au Askofu Mkuu. Zipo Metropolitan (Archdiocese) 6 na hii mpya itakuwa ya 7. Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza, Songea, Tabora na hii teule ya Mbeya
  14. Jallen

    TANZIA: Makamu Mkuu wa UDOM, Prof. Egid Mubofu afariki dunia. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Huyu hakuwa VC alikuwa DVC-PFA Prof Shaban Mlacha. Atakuwa kaenda kwenye shule yake ya Alkanjenje kule Same. VC alikuwa Prof Idris Kikula
Back
Top Bottom