Recent content by jakosongosi

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dakika 45 na Bernard Membe ITV: Baadhi ya mambo aliyoongea

    Membe mkomavu sana kisiasa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli, mgombea binafsi aliyewahadaa CCM?

    Tumuunge mkono kwa kuwa wananchi ndio nguvu yake
  3. J

    JamiiForums Tanzania Loan board: Wanafunzi chuo kikuu cha Mzumbe bado hawajapata fedha za kujikimu, kwanini?

    Bodi ya mikopo bado wanabip kasi ya magufuli kwa kuendeleza mazoea yale yale ungali wanajua kwamba watoto wa masikini ni wengi vyuoni tunaomba magufuli upitie bodi ya mikopo upya.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania uchumi utayumba kwa miaka miwili au mitatu kabla ya mambo kukaa sawa

    Nami anitake radhi kwa kuwa inaonekana bado anapiga propaganda.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania uchumi utayumba kwa miaka miwili au mitatu kabla ya mambo kukaa sawa

    Wote kwa pamoja tuseme Magufuli ni rais wa wanyonge.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania uchumi utayumba kwa miaka miwili au mitatu kabla ya mambo kukaa sawa

    Ndugu zangu naomba muelewe kwamba rais anachokifanya ni kutengeneza mazingira rafiki kwa wawekezaji wa ndani ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakinyanyashwa na serikari na wawekezaji kutoka nje ambao wanakua na mitaji mikubwa sana. Kuhusa kudorola kwa uchumi tz hoja hiyo haina mashiko kwa sasa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na PM Majaliwa Wameamua kuwa Wapinzani wa CCM na Kikwete

    Piga kazi rais wangu JPM Mungu akupe nguvu usirudi nyuma.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    katika chaguzi za serikali za mitaa takwimu zinaonesha kuwa chadema wametikisa ngome ya waziri mkuu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?! Au ni hasira tuu za Escrow, na Katiba?!

    sio escrow na katiba tu bali ni mwendelezo wa mambo ya kifisadi
  10. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?! Au ni hasira tuu za Escrow, na Katiba?!

    kama uchaguzi wa serikali za mitaa ukirudiwa leo ccm itapata anguko kubwa
  11. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?! Au ni hasira tuu za Escrow, na Katiba?!

    kutokana na chaguzi ndogo za kuwapata viongozi wa serikali za mitaa ccm tumejifunza kuwa watanzania 70% wamebadrika sana
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mambwe secondary mpooooooo!

    ndugu zangu wadau mlosoma mambwe secondary nawatafta tujadiriane hapa kwani chule yenu imebadilika sana na mabadiliko yenyewe ni hasi kwa maana wanafunzi wa shule yetu kwa sasa hawatambui umuhimu wa elimu . matokeo yao yanaendelea kushuka kila mwaka na mbaya zaid wengi wanaambulia zero...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge kulipwa 160m kiinua mgongo: Sheria na Kanuni inayotumika hii hapa

    they are no longer brothers let them eat and eat twice!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mh. Kasimu Majaliwa kwanini ulidanganya umma?

    Mapema mwezi wa 12 mh. naibu waziri wa tamisemi Kasimu Majaliwa aliutangazia umma kwamba ajira za walimu mwaka 2013/2014 zitatolewa mapema mwezi January. Wahanga wa ajira hizo wamekua wakisubiri kuanzia mwez january mpaka sasa wameanza mwez mwingine hakuna tamuko au mrejesho wowote kwa umma la...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Siasa katika elimu au nini maana yake?

    naogopa kusema kama ni siasa inaotumika kuanzisha koz mbalimbali vyuoni kwasababu kinachoangaliwa ni upana wa elimu kidunia, wataluma hawaangalii kwamba watz wanahtaji elimu gani, pamoja na hayo unapewa choice kuchagua koz unayoipenda hulazimishwi kwenda kusoma kozi fulan
Back
Top Bottom