Recent content by Jakasaye

  1. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

    PhD anayejiita Prof ni JK.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wana CCM Wenzangu hiki tunachokifanya hakina Baraka za Mungu

    Huyu Bollen Ngetti namfahamu sana. Ni kada mtiifu sana wa chama chakavu lakini kwenye ukweli jamaa hapepesagi macho. Naona tutasikia "si mwenzetu" au kuvuliwa uanachama. Wazalendo hawatakiwi CCM.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Mjaluo wa Rorya
  4. J

    JamiiForums Tanzania Chakula cha ubongo: Lumumba University vs Ufipa University

    Nyumbu wengi watajaa Ufipa
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali kununua ndege mpya kwa ajili ya Rais na viongozi wakuu wa serikali

    Starehe kama hizi hulevya mno viongozi wa Afrika hata kubadili Katiba waongoze milele.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Halotel kulipa faini ya shilingi milioni 700

    Yule Katibu Mkuu wa chama chakavu atakuwa ameumia sana.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lissu: Msumeno wa JPM ni butu, inakuwaje kubwa la Mabashite linaachwa?

    Bashite ndo kapu la kuhifadhia ufisadi wa baba J.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii inawezekana viongozi wengi wa ngazi za juu za upinzani ni watu wa system?

    Zitti Kabwe ni ofisa mzuri sana wa TISS lkn hajawa mwandamizi (senior) akiwa amechukua mafunzo kule Zenji. Mbatia ni wakala wa TISS aliingizwa na Apson kuleta taarifa za upinzani akilipwa 600,000/= kwa mwezi by then, Mrema afisa mwandamizi, Mbowe ni Wakala, Slaa na Lipumba ni watumikaji wa short...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CAG aibua madudu ya kutisha Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA)

    Kwani Dickson Mahimu alishaachiwa?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Malisa Godlisten: Nape akae kimya, hana locus ya kuilaumu CCM wakati bado yupo humo

    Arudishe b4 alizokwapua za kampeni wakagawana na yule dc wa Longido. Magu anajua.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lafanikiwa kuwaua majambazi wanne na kurejesha baadhi ya silaha zilizoporwa

    Mmeoneshwa hata nusu mwili tu wa jambazi aliyeuliwa? Maigizo.com
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania: Kumbe bomba la gesi linatumika kwa 6% tu na 94% halina kazi

    Hebu eleweka basi. 94% ya bomba au ya gesi haitumiki? Kwani tunatumia bomba au gesi??
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hongera Kubenea kwa kupotezea uzinduzi wa hosteli za UDSM

    Kwani lzm Kubenea awepo ndo Rais asaidie wananchi wake? Hajui aajibu wake?
Back
Top Bottom