Recent content by jakamot

  1. J

    JamiiForums Tanzania kwa wale wa BUKAMA SEC

    kwa wale wa bukama sekondari mwaka 2002 tuwacliane via0782701214
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kutofanikiwa kwa big result now

    je kwa hali hii tutafika kama hali ndo hii?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kutofanikiwa kwa big result now

    Niko kwenye kikao cha walimu wa kata3 za etaqo, nyakatende na nyegina chini mwenyekiti wa halmashaur mkurugenzi afisa utumishi na deo kubaini changamoto za matokeo makubwa sasa/ hoja zinazotolewa ni kucheleweshewa malipo/ kutorekebishiwa mshahara kwa wakati na serikali kupuuza madai ya walimu 7 .
  4. J

    JamiiForums Tanzania Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    Leo tunaadhimisha miaka 52 ya uhuru lakini mie najiuliza ni mambo gani mazuri ya kujivunia? Falsafa ya Maisha magumu kwa watanzania wanyonge na maisha bora kwa wenye nchi (viongozi) ndo jambo la kujivunia? Wafanyakazi wa chini katika nchi hii wanalia na kusaga meno kwa mishahara midogo wakati...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je inaweza tokea?

    inadaiwa kuwa mara nyingi walikuwa hawatumii kondom isipokuwa danger days tu, na victim ni binti sex walikuwa wanatumia normal sex,nashukuru nikupata
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je inaweza tokea?

    Nimeipata sehemu eti ni kweli mtu anaweza kufanya mapenzi na mwathirika bila kujua kwa miaka 2 na asipate maambukizi ya HIV? ni kweli!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nimeipata sehemu but sina hakika

    kuna sehemu nimesoma ushuhuda wa jamaa mmoja aliyefanya mapenzi na wathirika kwa miaka 2 bila yeye kutambua alipogundua na kwenda kucheki lakini jamaa hakuwa hata na chembe moja ya HIV NI KWELI?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hatari UDOM: Mtoto mchanga aokotwa kwenye dustbin

    Hao ndo wanadada wa udom
  9. J

    JamiiForums Tanzania Majambazi yavamia BigBon Mbagala

    Polisiccm hao mnaowasema mmewajiri nyie au? Kama ndivyo c na nyie mtafute polisivyamavingi kama mna upepo tulieni vijana! Mnatia huruma kuichukia ccm bila sabbu maalum hao wanawadanganya bure ipo cku mtajutia maamuzi yenu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shabani Maulidi (15) aliyefariki miaka mitatu aonekana hai

    Kazi kwelikweli
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu mniweke huru

    Msaada jamani
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu mniweke huru

    Kwa mwenye majina ya waliochaguliwa udom kozi bachelor of science in health information sytem anipostie,tafadhali
  13. J

    JamiiForums Tanzania Msaada selection

    Msaada jamani
  14. J

    JamiiForums Tanzania Msaada selection

    Naomba jinsi ya kuchek selection kwa airtel yatosha, au kama umeshacheki za sua nipostie
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ni mke wako ungemfanyaje?

    Kuna sakata moja limetoa nyasho musoma,sakata lenyewe ni hili: kuna mwanamke mmoja umri kati ya miaka 40 amefumaniwa akifanya mapenzi laivu na kijana mdogo wa miaka 23, wawili hao wamekamatwa wakifanya mambo yao ndani ya saloon yake ambayo alifunguliwa na mme wake kwa ajili ya kuimarisha uchumi...
Back
Top Bottom