Recent content by JAJU

  1. J

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa kubadilishana.

    anayetaka kuja mbulu kutoka arusha,kilimanjaro,dar,tanga,dodoma anibipu 0764013908 Mwl.idara ya msingi.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa kubadilishana.

    Amayetaka kuja mbulu-manyara kutoka kilimanjaro,arusha au dar nibipu 0764013908.niko idara ya elimu msingi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa kubadilishana.

    Amayetaka kuja mbulu-manyara kutoka kilimanjaro,arusha au dar nibipu 0764013908
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waalimu kuboreshewa mishahara

    Ikitokea nitaongeza kasi ya ufundishaji hata weekends nitahudhuria kuwafundisha bila kuambiwa.lhkizo pia naacha niwafundishe vijana eti.mungu weka mkono yatimizwe na serikali yetu.kikwete sikiliza usikie vizuri.amen.("naas loowale orio")
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    we mjane wapi hujawahi kuolewa ndio nataka kukuchumbia mimi au vipi pas lady?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta boyfriend atakayekuwa mume wangu baadae!

    Madam z kweli umjieleza vizuri nimekuelewa.mimi nipo ila elimu yangu 4m 4 nimeajiriwa na serikali mwalimu wa primary.i am 30yrs.nirushie namba zako tuongee zaidi.nibipu kwenye 0764013908 nikupigie
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kipi kitakuuma kati ya hivi..

    1,7,12 na 19 ndugu ni noma balaa mtu wangu.namba moja imenitokea live miezi 12 sijalipwa mwaka 2009 sintasahau serikalini kabisa hii ndio utawala wa ccm na kikwete.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata ushuzi unatumika

    Jamaa kaamua kutuchekesha tu mimi nilimshuhudia jamaa anatumia harufu ya ushuzi kama body sprey yake.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Mimi mke wangu amejifungua watoto 2 wote sio riziki unaweza kunisaidia?1 alifariki na mwaka 1na miezi 9 mwaka 2009,wa 2 akafariki na miezi 4. Mwaka 2010.hawajaugua hata kidogo. Mpaka leo mke wangu hajapata mimba.utaweza kunisaidia?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kipara kwa Wanaume ni "ishara" ya Magonjwa ya Moyo!

    Hii kali mimi nicho cha mbele nijikinge vipi?
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naumizwa

    niliitwa kushuhudia na watu wema kwangu
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naumizwa

    Nimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania #BREAKING NEWS#Dr SLAA ahamia CCM

    Dr.akihamia ccm,basi nape nnauye naye atahamia chadema leoleo huko aliko.au vp mode???
  14. J

    JamiiForums Tanzania Breaking news. -leo muda

    Hueleweki best unazungumzia kitu gani
Back
Top Bottom