Recent content by jajithebest

  1. jajithebest

    Shule bora za Serikali, enzi hizo

    SIJAIONA TAQWA HAPO duuuuuuh
  2. jajithebest

    Namchukia Dr. Shukuru Kawambwa

    Larkin wazir huyu. hana akili Tunataka mfumo wa ZAMANI wa elimu mwaka huuu tutagoma na kuandamana
  3. jajithebest

    CCM tunawakaribisha UKAWA

    NB; PEOPLE 'SSSS........................................... poweeerrrrrr nguvu ya watu
  4. jajithebest

    Namchukia Dr. Shukuru Kawambwa

    Salaam Wanajamvi Mimi ni mwanafunzi wa Thaqaafa Mwanza, kiukweli waziri wa elimu namchukia Sana pamoja na baraza la elimu hiii. Ni kwa sababu ya kuharibu mfumo mzima wa elimu na kutuletea BRN Viongozi wengi unakuta wakijinadi katika majukwaa Kwamba Serikali imejenga shule maabara za kutosha...
  5. jajithebest

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Baada ya CCM kuwatangaza watano bora wa kuwania ngazi ya urais imekua gumzo mtaani baada ya Edward liwassa kutokuwemo kwani watu wengi walifikiri kua liwasa angekua wa kwanza kutajwa kati ya watano haoo Lakin nakishukuru chama hicho maana kumetupa mwanya mkubwa UKAWA kushinda ngazi hiyooo...
  6. jajithebest

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    CCM wamechichimbia kaburi wao wenyewe maana mtaani kulikua na kundi kubwa la TEAM LOWASSA
  7. jajithebest

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Sijakuelewa mkuu kuhusu hizo skuli kama VP nifuate whatsaap 0764817610
  8. jajithebest

    Msaada natafuta shule binafsi kombi pgm

    usidanganyike njoo TAQWA HIGH SCHOOL mwanza tafuta hata ACSEE RESULTS PASSED YEARS No ya shule no 578
  9. jajithebest

    Msaada natafuta shule binafsi kombi pgm

    usidanganyike njoo TAQWA HIGH SCHOOL mwanza
  10. jajithebest

    Msaada wa shule ya advance ya gharama nafuu

    Kaka MWANZA ni kisima cha elimu kwanza kuna mwalimu was physics a+level Tanzania nzima maarufu kama MWL.MICHAEL PILI. **** mwalimu was biology a+level kanda ya ziwa maarufu kama MWL.TOGORAI na mwisho kuna mwalimu wa chemistry kanda ya ziwa yote Maarufu ka MWL.YOTHAN mlete MWANZA...
  11. jajithebest

    Msaada wa shule ya advance ya gharama nafuu

    hostel zipo na chakura ni cha ukweil hakuna Discrimination ada kwa hostel ni Mil 1 na chenchi kadhaaa
  12. jajithebest

    nahitaji kusoma clinical officer

    hayo in matokeo ya rafiki yangu anataka na yeye kusoma clinical officer
  13. jajithebest

    nahitaji kusoma clinical officer

    Nina D ya CIVICS Nina D ya MATHS Nina C ya HISTORY Nina C ya GEOGRAPHY Nina C ya LANGUAGE Nina B ya BIOLOGY Nina B ya CHEMISTRY Nina C ya PHYSICS Nina B ya KISWAHILI niambie na Mimi mkuu kuhusu clinical office r
Back
Top Bottom