Recent content by Jaimee

  1. J

    JamiiForums Tanzania John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

    Mpinzani wa kweli Tanzania ni wewe tu. Upumbavu nao ni kipaji.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

    "Uchaguzi utakuwa huru na haki,ole wake atakayeleta vurugu" Sasa hao walioshusha bendera wamechukuliwa hatua gani?Je zingeshushwa za ccm mamlaka husika ingeendelea kuuchuna kama ambavyo inauchuna sasa?Haya mambo yatakuja kuleta athari kubwa ktk taifa letu.TUTUMIE AKILI ZETU VIZURI.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ijue tofauti kati ya Lockup na LockDown

    OK.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Tutachangia kwa fujo hadi Shetani akasirike.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    But Mashinji atachangiwa na Ccm.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Mkongwe Mzoefu, Hapana,jambo linalofaa ni kutumia account za makao makuu tu na si vinginevyo.Tufanye kama vile tulivyofanya kwa Lisu.Hii itawaumiza sana wasiojulikana.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    Who are you hadi umfundishe Kabendera?Je,wewe unaakili sana kiasi kwamba Kabendera hajielewi?Kwanini usiifundishe sisiem yako?we veeepeeee?Heeeeeeee!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa simamia sheria bila uoga

    Acha kuweweseka,mwambie msajili hii tabia ya ccm kutochagua mwenyekiti wa taifa haifai.Maana kila anayeshinda urais anakuwa mwenyekiti.Sasa watakaposhindwa sijuwi itakuwaje.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

    Nenda mahakamani
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mkono wa mtu mkubwa sana katika jaribio la kutoa uhai wa Tundu Lissu?

    Tena wazidi kuchanganyikiwa ili wale misukule hadi wapate akili.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Uganda ndio imebadili msimamo wa bomba la mafuta ?

    Write your reply...Huo ndiyo ujasusi wa kiuchumi.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Uganda ndio imebadili msimamo wa bomba la mafuta ?

    Write your reply...Huo ndiyo ujasusi wa kiuchumi.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Uganda ndio imebadili msimamo wa bomba la mafuta ?

    Write your reply...Huo ndiyo ujasusi wa kiuchumi.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

Back
Top Bottom