Sasa Nchi inakuwaje Nchi bila ya Wananchi? Hao unaotaka kuwaona ni Nchi ni watumishi wetu hivyo hawana mamlaka yoyote ya kuamua mustakabal wetu bila ya ridhaa yetu.
MTU yeyote mpenda haki huitetea bila kujali eneo alilo kuwepo, kupinga dhulma na uonevu wa aina yoyote ni sifa kuu kwa kila mpenda haki ni sifa ya kiucha mungu, na yeyote anaye tetea dhulma na uonevu ni muovu kama alivyo muovu mkuu LUCIFER
Tujifunze kutumia hoja katika kutofautiana na watu pasipo kutumia lugha za matusi kwa viongozi na hata watu wa kawaida na huo ndio utu. Hii ni qoute kutoka andiko la Baba Askofu aya ya tatu
Mheshimiwa Nimrod Mkono hayupo Bungeni hata kabla Lissu hajashambuliwa na bado hayupo Bungeni baada ya Lissu kuvuliwa Ubunge, sasa huu utaratibu wako unaangalia Chama cha mbunge au muda wa kutokuwepo Bungeni kwa Mbunge husika, tufafanulie
Mbona symptoms zote ulizozieleza zinaelekea upande ule mwingine?, kila dalili inamgusa sabuhufa na Yule mwingine asiyejulikana. Hebu nawe rudia kusoma ulichodadavua halafu kiweke kwenye mizani.
Kwa hivyo CHADEMA nayo ikifanikiwa kushika Dola, wale wa CCM wazitupe line za TTCL na wanachama wa CHADEMA wahamasishwe kuzitumia hii ndio tafsiri yako ya UZALENDO kwenye kukuza makampuni ya Kitanzania - BULLSSHIT
Riba INA desturi ya kuongezeka kila unaopochelewa kulipa, hivyo kama ilikuwa ulipe 550 katika mkopo wa 500 ndani ya miezi 3, ikipita hiyo miezi 3 utatakiwa kulipa ziada na si 550 tena Bali itaongezeka tofauti na faida ambayo ni fixed haijali muda, hivyo tofauti ya riba na faida ni kuwa riba huwa...
Sasa ndio unatuanbia kitu gani? badala ya kunyofoa hata kidogo ulicho kisoma ndani ya mkataba ukatuwasilishia japo vipengere kadhaa tujue mapungufu yake unatupiga porojo na blaa blaa tu. WHAT A NONSENSE
Ila binge likirushiwa vikokoto tu linanuna na kupoteza mwelekeo kama taasisi inayo wakilisha wenye nchi(wana wa nchi) THE CAG REFERENCE
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.