Recent content by Jaiden

  1. J

    Maombi ya Scholarships za China

    Hii nzuri. Nimewapatia vijana wangu nao wajaribu bahati zao.
  2. J

    Kuhusu English Test ili uweze kupata scholarship

    AS RECEIVED FROM WHATSAPP. *MAOMBI YA SCHORLASHIP - CHINA* >Kwa wale ambao mngependa kujiunga na masomo ya masters na PhD nchini China kwa mwaka wa masomo 2017/18 yaani kuanzia mwakani mwezi wa tisa ni vyema kuanza maandalizi yako sasa. Application zitaanza mwezi wa 10 mwaka huu hadi mwakani...
  3. J

    Msaada: Jinsi ya kupata scholarship

    AS RECEIVED. MAYBE CAN BE HELPFUL *MAOMBI YA SCHORLASHIP - CHINA* >Kwa wale ambao mngependa kujiunga na masomo ya masters na PhD nchini China kwa mwaka wa masomo 2017/18 yaani kuanzia mwakani mwezi wa tisa ni vyema kuanza maandalizi yako sasa. Application zitaanza mwezi wa 10 mwaka huu hadi...
  4. J

    Hivi mapato ya mwezi Mei ni kiasi gani?

    Baba J bado anamtumbua J na wenzake UDOM na akimaliza huko atakuja kuruhusu mapato yatangazwe.
  5. J

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Mkuu nadhani PhD ya Magufuli ni ya UDSM Chemistry department. Sina nia wala sijadili degree ya chuo kipi ni bora ila naweka kumbukumbu sawa tu. Nilipata kumshuhudia wakati anasoma PhD yake na to be specific kuna siku alitupatia lift na jamaa zangu hadi mabibo hostel, tulikuwa department jirani...
  6. J

    Ufisadi kupitia zabuni za NSSF: Dr. Dau na genge lake wawajibishwe!

    WELL SAID boss hakuna la kuongezea
Back
Top Bottom