Msaada: Jinsi ya kupata scholarship

MTOTO YATIMA

Senior Member
Jul 1, 2012
147
58
Habarin za muda huu wakuu? Nombeni anayejua milango ya kupitia niweze kupata sholarship jaman nataman kupata sholarship nikafanye masters masuala ya Tourism ni vigezo gan vya msingi sana? Na vyuo gani bora sana katika fani hii?
 
AS RECEIVED. MAYBE CAN BE HELPFUL
*MAOMBI YA SCHORLASHIP - CHINA*

>Kwa wale ambao mngependa kujiunga na masomo ya masters na PhD nchini China kwa mwaka wa masomo 2017/18 yaani kuanzia mwakani mwezi wa tisa ni vyema kuanza maandalizi yako sasa. Application zitaanza mwezi wa 10 mwaka huu hadi mwakani mwezi wa 3 tarehe 30.

>Watu wengi hawajui jinsi yakufanya hadi aweze kufanikisha kupata scholarship. Scholarship ni nini? Huu ni udhamini wa masomo yako ikihusisha stipend, tuition fee na mengineyo. Kwa scholarship ya China huwa hawatoi nauli ya kuja chuoni ila sometimes wanatoa ya kurudi nyumbani ukimaliza chuo.

>Kuna aina nyingi za uombaji wa hii scholarship ya wachina (Chinese government scholarship).

MATOKEO yaani G.P.A ni kigezo muhimu lakini walau kuanzia GPA ya 3 tunaweza kukusaidia ukapata full scholarship kabisa bila tatizo. Kila aina ya course unayotaka kusoma ipo china kwa maana nchi hii ni kubwa sana na wana vyuo vingi sana vya ubora wa juu kabisa. Nashawishika kukwambia ni vyuo bora ila fake pia vipo kama bongo tu. Ni juu yetu kukushauri wewe upate chuo bora.

>Lugha ya kujifunzia ni Kichina au Kingereza. Hii inategemeana na matakwa ya chuo utakachopata lakini pia uwepo wa walimu wanaojua kizungu katika chuo ulichopo. Wengi huwa wanasema wanasoma kwa kichina lakini mwisho wa siku darasani anafundishwa kwa kingereza na kazi zake anaandika kwa kingereza. Kwa ufupi swala la lugha sio tatizo kabisa kama unapenda kusoma lisikupe shida njoo usome.

>VYAKULA. Kuna notion nyingi kuhusu vyakula vya china lakini nikuhakikishie China ni nchi yenye kila aina ya chakula na utakula unachopenda wewe. Kila kilichopo Tanzania na huku kipo hivyo ni juu yako tu. Maisha kwa miji mingi yako chini sana hivyo pesa unayopewa kwa mwezi inakutosha sana kwa yule aliyezoea bumu la udsm/sua and the likes basi bumu la huku ataona kama anapendelewa.

JINSI YA KU-APPLY

>Tunashauli uandae documents zako zote mapema sana na kisha ututumie na sisi tutahakikisha tunazipeleka vyuo vingi (zaidi ya 3) ili kukuongezea nafasi ya kupata scholarship. Kwa kila hatua utakayokuwa unafanya usisite kuwasiliana nasi tukuelekeze unapokwama. Kwa uzoefu wangu swala la proposal limewakwamisha wengi hadi kukata tamaa (watanzania hatupendi vitu vigumu vigumu sisi mteremko TU), ukikwama hapo tutakusaidia kuku guide hadi ufanikishe.

>Documents zote zikiwa tayari tutumie katika email yetu (ecgsttz@yahoo.com).

MUDA WA MASOMO

>Miaka 2-4 kwa master degree kutegemeana na aina ya admission yako.

>PhD ni miaka 3-4 tegemeana pia na aina ya admission yako.

Ili kujua ni documents zipi zinahitajika na kuanza mawasiliano mapema nasi!!

Tafadhari Piga au Whatsapp

1.Dominick Kapumbe-0767170621
2. Hamenya Mpemba +8618845649874

*NOTE*
>Tangu mwaka 2013 tumejitolea kutoa huduma hii free of charge. *ILA* Kuanzia mwaka huu 2015, *utachangia huduma hii baada ya kupata scholarship yako -CHINA* na wala siyo kwa hatua za uombaji!! Tunawashauri kuchangamkia fursa hii mapema!!!
.
 
Asante sana mkuu kwa maelezo ya kuridhisha na huu ni mwanzo mzuri kwangu kama kun mwingine mwenye kujua msaada pia atudodoshee hapa.
 
Mm nataka kujua vigezo wa kupata huu ufadhili wa masomo kuanzia ufaulu na mambo mengine yapi ni ya msingi kwa mtu anetoka daraja la stashahada(diploma) kwenda kusomea shahada(degree)
 
Back
Top Bottom