Kwa nini isiwe serikali moja?.
Kero zitakuwepo tu hata pawe na serikali saba
Taifa la Afrika limegawanywa vipande vipande huku kila kipande kikiwa na serikali yake iliyo tofauti na kipande kingine.
Ikiwa ni moja wote tukaongea lugha moja, tukaelewana ule umoja ambao ndio nguvu ya kushinda...
Na iwe ivyo, tunatumia ghalama kubwa kujenga majengo mengi wakat vituo vya polisi vipo.
Badala ya kukimbizana mtaani na kuhifadhi vibaka na wavuta bangi kwny selo zao, sasa ni muda polis nao wabadilishiwe majukum.
Sioni kama jukumu walilonalo kwa sasa linawafaa.
Sio lazima tusomee shuleni, hata vituo vya polisi vinaweza kufanywa kuwa maeneo ya mafunzo na polisi wakawa walimu.
Waalifu wote wakafundishwa kwa lazima na kupewa ajira kama kifungo kulingana na kosa.
Shule zikifungwa madarasa yana matumizi mengi mengine, kama kuwapangisha wazawa wasio na...
Hahaha eti mkeo.
Inavyoonekana Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa kindugu zaidi kuliko kisheria. Sa zingine sheria inaweza kukutenga na ndugu zako lkn upendo hauwezi.
Hii ndo sababu wakasema tudumishe Muungano wetu kwa ghalama yoyote ile. Sasa linapokuja swala la ghalama wengine bado...
Mimi Siishi London ila Nina uwezo wa kuishi London, japo sitamani
Sina Dini Nina Imani
Nina elimu kubwa ya Ufahamu Maishani
Amani na furaha usitegemee wakati wote, taabu na karaha hazikosi safarini
Ajuaye Hitaji lako ni Mwenyezi pekee, ingawa Moyo wako unatamani Wa Aina flani
Mtoto ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.