Nadhani Mwenyezi Mungu Ameruhusu haya matukio yatokee ili hata wale (wachache) ambao bado walikuwa na imani na sympathy kwa mgombea wao na chama chao waweze kuona rangi halisi za viongozi wao ili Yeye (Mungu) Akiingilia kati kusiwe na manung’uniko.
Wananchi timamu wameshtushwa na kuguswa na damu...
Code tena mzee, ulizia grm panafahamika vizuri tu. Okay sikia Kama una upwiru, nenda zako pale chagua pozi zuri agiza. Hao wahudumu ndio vipoozeo, chagua anayekupendeza ishi nae.
Au unaweza kwenda Paris(ulizia boda akupeleke) pia kuna watoto safi kabisa.
Paris kuna bar na night club, zipo...
Sogea GRM Pamekaa kiofsa sana. Kitimoto, mbuzi choma and everything vipo. Mazaga ulimi wako na wepesi wako tu. Wepesi namaanisha pesa. Nipo k’masoko nazichanga, next week narudi lindi mc. Karibu lindi mji wa matumizi aka Paris.
Nadhani hii itakua moja ya effects za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na ‘single mother’.
Binafsi Nimepitia hali Kama yako (mtoa uzi) na bado naendelea nayo ingawa napambana kuiacha hii tabia ya ku’ghost raia hasa wapenzi wangu.
Nilimzimia single mother mmoja aloo alikua perfect match na ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.