Recent content by jagumba

  1. J

    Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

    Hapo hakuna kifungu Cha General order ! Hiyo ni sheria ya bunge ! Ni sheria hiyoooo ! Hakuna by law hapo.
  2. J

    Yeriko Nyerere, Shirika la Majesuit la Kanisa Katoliki siyo majasusi kama unavyodanganya

    Kabisaaaaaaa ! Jesuit fathers kazi yao kubwa ilikuwa ni kufanya Counter-protestantinism ! Kuua u Protestant yaani u luteri na uanglican pia mtakatifu Inyasi wa Loyola ndiye Chaplain wa Kwanza wa Askari wa papa pale roma
  3. J

    Askari polisi Njombe apata cheo kwa kuhudumia ajali ya Mkuu wa Majeshi

    Kupandisha vyeo kwa staili hiyo ni sawa ! Lakini kwa dunia ya leo zingatieni elimu bwana, mnarudisha chombo chenu nyuma, hiyo staili ya kutoa vyeo kwa mtindo huo usio kuwa na muelekeo itapelekea kujuana, upendeleo etc Mimi na amini ma ofisaa wore wa police ni wachapa kazi kwa ujumla bila...
  4. J

    Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    TISS hawakujimega toka police mwaka 1996, Ni mwaka 1963 kipindi Cha Africanization ndipo TISS waliondoka kuwa unity ya jeshi la police na kuhamia ikulu! Hii TISS mpaka mwaka 1962 ilikuwa ni Unity ya Jeshi la police, ikijulikana Kama Special branch au upelelezi wa siasa, kiongozi wake akiwa ni...
  5. J

    Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    S Siyo sheria tuu bali hata maadili ya kazi hiyo ndivyo yanavyo taka na ndiyo maana hata sheria ilitungwa hivyo ! Kazi nyingi za ki usalama ni siri hasa zile zinazo husu Hujuma(sabotage), uzandiki (subversion) na ujasusi (espionage), na ndiyo maana wakati huo wakiitwa "upelelezi wa siasa" au...
  6. J

    Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    Hakuna kitu Kama hicho ! Huo ni ubabaishaji tuu, sheria ya taasisi ya usalama wa Taifa iliyo tungwa 1996 na bunge ! "The Tanzania intelligence and security service act of 1996" kifungu cha 5 kifungu kidogo cha 2(a) kina kataza TISS kufanya Enforcement ya security measures mfano kukamata etc na...
  7. J

    Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    Chahali yupo kazini wapi ? Ni mbabaishaji tuu yule, nilisoma kipeperushi chake anacho kiita "shushushu ni nani ?" Kwenye sehemu ya maoni ya kuboresha security service anatoa maoni ya hovyo kweli yenye kujaa masifa na kuwa na elimu finyu ya kiusalama ! Eti anasema TISS wapewe mamlaka ya...
  8. J

    Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    Hiyo TISS imevamiwa ! Ni bora irudishwe chini ya jeshi la police maana ndiyo walio iasisi kipindi hicho ikiitwa Special branch chini ya Inspector Mzena ! Kabla ya kujimega toka jeshi la police 1963, Kwa sasa imevamiwa na wajuaji basi imekuwa tabu tuuuuuu ni misifaaa tuu hakuna kazi tenaa huko.
  9. J

    PCCB wafungua kesi dhidi ya Lugumi na Jeshi la Polisi, IGP na Katibu wa Wizara waitwa Bungeni Dodoma

    DPP NI RAIA TU SI POLISI, ILA WENGI WA WAENDESHA MASHITAKA HUKU WILAYANI NI WAKAGUZI WA POLISI (POLICE INSPECTORS), NA HUYU BOSI WA TAKUKURU ALISHA WAHI KUWA POLICE COMMISSIONER, NA ALIKUWA NA MADARAKA YA REGIONAL POLICE COMMENDER (RPC) HUKO MWANZA.
  10. J

    Kwanini Mkuu wa Majeshi hapewi heshima?

    basi fuatilia vizuri kunamwenzio amejibiwa hapo kwenye maelezo hayo.
  11. J

    Makonda atoa onyo kali kwa viongozi wa Dini

    IFIKE MAHALA POLISI MUWAPIGE MARUFUKU HAWA WANASIASA KUBWABWAJA MASUALA YA USALAMA HOVYOHOVYO, MAANA HIKI CHEO CHA KISIASA CHA "UENYEKITI WA ULINZI NA USALAMA MIKOANI NA WILAYANI", CHEO HIKI KINAWAFANYA WANASIASA WA VIMBE KICHWA MNOOOOOOOOOOOOO. WITH NO CAUSE...
  12. J

    Makonda atoa onyo kali kwa viongozi wa Dini

    dah ! polisi hebu simameni mteteeeee mamlaka ya kazi yenu, mbona mmepewa mamlaka makubwa sana na sheria za nchi yetu, ilikuweza kutuweka salama lakini mmekuwa wazembe wa kusimamia kazi yenu ya utekelezaji wa sheria za nchi na matokeo yake kila mwanasiasa anaona kuingilia majukumu ya polisi ndiyo...
  13. J

    Kwanini Mkuu wa Majeshi hapewi heshima?

    na hata hivyo polisi ndiyo wahusika wakuu wa usalama wa ndani, na kwa mfumo wa vyombo vyetu IGP anawajibika kwa Rais moja kwa moja na si mtu mwingine yeyote yule.Sanasana polisi waache tabia ya kuchukua virushwa rushwa kutoka kwa watu maskini maana hivyo ndivyo vinavyo washushia heshima kwenye...
  14. J

    Kwanini Mkuu wa Majeshi hapewi heshima?

    poa ! utanikuta.
Back
Top Bottom