Recent content by jagoha

  1. J

    Kikao kilichofanyika ikulu

    Waelevu wa mambo, wajinga na wapumbavu wote utawakuta jf . Ff haina ubaguzi ndio maana kila mtu anaandika anachotaka hata kama ni uzushi, uwongo, umbea na fitina zote utazipata. Kikao cha ikulu kilikuwa ni siri we umbea huu uliutoa wap. Usiwe mnafiki ndugu.
  2. J

    Dkt Slaa (na CHADEMA kwa ujumla), upole wenu utawagharimu

    Zito hawezi kuthubutu kwenda mahakaman kushitaki wakati kilichoandikwa ni kweli kabisa.
  3. J

    Dkt Slaa (na CHADEMA kwa ujumla), upole wenu utawagharimu

    wana forum msijadili mambo kwa kuegemea upande mmoja hebu tujaribu kuwa fair . mimi naona kilichoandikwa na mtanzania ni cha kweli kabisa. kama tulivyomuamini bashe alipomtaja membe sakata la kubanda basi tuamini kile kilichoandikwa na gazeti la mtanzania ni sahihi. kwanza hebu fikiri pale zito...
  4. J

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    haiingii akilini bw zito anaposema haitahamu lunch time hotel
  5. J

    Katuni: Sisiem Haing'oki, Labda Mlete NATO

    unafikiri kwa kutumia ile kitu aliyosema didas masaburi au. mbona husomeki .tanzania kwanza mtwara baadae. achana na mawazo ya sera za ukanda na ukabila.kama unaweza washawishi watu wa mtwara wajitangazie uhuru wao kama alivyofanya joshua nassari alipotangaza kujitenga kwa sehemu ya kaskazin mwa...
  6. J

    Mbowe, Slaa wakemeeni wanaomchafua kiongozi mwenzenu Zitto Zuberi Kabwe

    Ni kweli kabisa chadema inamkosea heshima ndugu zito. Ila tatizo ni moja ambalo ndg zito hajatambua kuwa hakuna democracy ndani ya chadema kama huna uhusiano wa damu na mbowe, slaa, na edwin mtei labda kwa ushauri zito angetangazia nia katika chama cha adm
  7. J

    Nape, mfukuzeni Dr. Slaa uanachama CCM

    kama dk slaa amekili anamiliki kadi ya ccm kweli huyo ni mamruki ndio maana alishindwa kupinga matokeo ya uchaguzi uliopita. wanachadema wenzangu tumfukuze huyo hatufai.
Back
Top Bottom