Ni muonekano wa kujifariji uliofunikwa na ukungu wa kufikiri wenye mwanga wa muda na sehemu anayotazama tu,kwani umechangia vipi kubadilisha jamii au wasichana wenzake kubadilika kimaendeleo au kuinua sehemu ya uchumi wa tanzania
Tatizo siyo kuandikisha siku ya sikuku tatizo ni maudhui ya kufanya kitendo hicho siku ya sikukuu ndio kinaweza kuhalalisha uhalali wa tukio lenyewe,Je,ni wananchi wanaolalamika kuwa wanalazimishwa kujiandisha siku ya sikuku au viongozi wanaofanya maoni kuwa hoja za wananchi?, Umuhimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.