Recent content by Jagarld

  1. Jagarld

    Tumeona 2008 Waziri Mkuu akijiuzulu, je inaweza tokea Makamu wa Rais Tanzania akajiuzulu?

    Njia nzuri ya viongozi wa kiafrika kujiuzulu inayojulikana ni Israel mtoa roho achukue chake, haya mengine kwao ni mapya na wanaendelea kuyastaajabu. Yani anawaza "ajiuzulu aende wapi, na cheo amuachie nani na ili iweje halafu yeye afanye nini.........!"
  2. Jagarld

    GE2025 Utetezi wa saba wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 18, 2025

    Ila Tundu anafanya watu wanaagiza maji na kwenda msalani kila dakika.
  3. Jagarld

    GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

    Huyu naye ni katuga mwingine, Matumizi ya jina la "kihiyo" kwa sasa Lina haki ya kupumzishwa ili vihiyo waitwe "katuga" au " vituga".
  4. Jagarld

    Zitto na Mbowe nao ni Wanamtandao?

    Halafu kuna watu huwa mnawasahau kundi la mtandao sijui ni bahati mbaya au makusudi......!
  5. Jagarld

    GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Kwani tume ilinunua magari mangapi...! Isije kuwa idadi ya magari ilikuwa ndogo wanabalance.
  6. Jagarld

    GE2025 Mgombea Urais ACT Wazalendo anapitia wakati mgumu sana kwa sasa

    Wakati mgumu upi wakati Kila kitu alikijua kabla.....! Ni kama watanzania tulishaamua kuwa wajinga na ujinga wenyewe ukaamua kufanya makazi ya milele Kwa vichwa vyetu.
  7. Jagarld

    ACT sawa yawapate, Chadema ikisema NO REFORMS NO ELECTION mnakuja na TUTALINDA KURA badala ya kuunganisha nguvu za NRNE

    Act wamepatwa nini wakati ni project kama zilivyo project zingine za watu kupiga fedha.....! Tanzania imejaa vyama vya siasa hewa kuanzia CCM na vijakazi vyake.
  8. Jagarld

    Nasikia Sigara inayopendwa na pia isiyopendwa na Watanzania wengi ya 'SM' inaweza Kutoweka kabisa Tanzania na sasa wala haionekani tena

    Hata sielewi kinachoongelewa hapa, ila sisi wakazi wa Mombo tunasema mikumi tena.
  9. Jagarld

    GE2025 Cheyo aongoza mkutano mkuu wa UDP mgombea urais, mwenza kujulikana leo

    Ukiishi kwa ufadhili ndo matikeo hayo, Yeye hataki ila joka la kiwavi jeshi linataka ili kuiimbia Dunia kuwa uchaguzi ulikuwa na washiriki wengi. Kiwavi anaendesha kampeni ya vyama 15 mwaka huu, kila chama kitapewa magari na fedha kuzunguka nchi nzima na ulinzi wa kutosha.
  10. Jagarld

    Godbless Lema, kikombe unachokitengeneza utakinywea

    Ukimwangalia Lema kwa matendo unaweza kuamini ni mpinzani na mbeba maono lakini ukijua kundi analolitumikia Wala huwezi kupata wasiwasi kwa sababu anakuwa na taarifa sahihi za kilicho pangwa kikapangika kikisubiri utekelezaji tu. Na vyama vya upinzani vikiendelea kumuamuni na kumuingiza kwenye...
  11. Jagarld

    Pastor Tony Kapola awajibu waliobeza muujiza wa kupuliza gesi: Naonekana nadhalilishwa

    Nchi imejaa wahuni kila Kona, si kwenye siasa, makanisani, misikitini, kwenye utendaji na Kila sehemu na Inavyoonekana Kwa sasa uhuni ndio mtindo wa maisha unaolipa kuliko chochote.
  12. Jagarld

    Nabubujikwa na machozi ya huzuni tuuu

    Mwashamba vs Mwashambwa, Ndugu wagombanapo................
  13. Jagarld

    Yuko wapi Sophia Simba aliyevuliwa uanachama kwa kumtetea Lowassa aliyekatwa kienyeji?

    Akisha apishwa chimbo kuwa Makamu utamuona tu usiwe na wasiwasi.
  14. Jagarld

    Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

    Kuna muda hata yeye inawezekana akiwa peke yake huwa anatucheka sana, taifa la watu zaidi ya 60 milioni lakini anavyotuswaga hata kondoo wana nafuu.
Back
Top Bottom