Recent content by Jaerana

  1. J

    JamiiForums Tanzania Songea; Askari polisi awekwa mahabusu akipakaziwa tuhuma za kuifadhili CHADEMA

    Chris Lukosi acha ushabiki wa kichama
  2. J

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai Umetukatisha Tamaa

    Kwanza Ndugai sijui kama anafahamu vizuri kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB) is equivalent to Prime minister post. Je km huyo Pinda ndo angesimama jana angeweza kufanya ya jana. I think kuja haya ya kiti cha speaker kufanyiwa thorough head test before anything. Anyway, Ndugai ni mzawa na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya majimbo ya Chadema CUF na CCM kwa maendeleo ni yepi?

    Jina la mleta threads inajulikana km LIMAU. Then what do you expect to opposition parties to do if all governments reveues are within elephant killers. Anyway 2015 wakaonyeshwa kazi na raia ktk box. Nenda kakamulie sehemu yeyote km jina lako linaoonyesha :A S-fire1:
  4. J

    JamiiForums Tanzania Vurugu kati ya Wafugaji na Wakulima: Barabara kuu Dar - Mbeya yafungwa!

    Nchi ya kila mtu kula anavyoweza then costs za maisha zinawalemea walala hoi. Wananchi daini haki zenu. MaCCM haya mapuuzi kweli kweli :love:
  5. J

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Dk. Slaa awasilisha maboksi 17 - Yanahusu maoni ya Katiba, Warioba agoma

    Wahi kapange foleni Lumumba. Kesho wamesema watoa buku saba7 watakuwa na watu wengi. Hivyo kesha mlangoni maana unatumikia kitu usichokielewa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Onyo: Jesca Kishoa wa CHADEMA-Iramba,viongozi na chama chako wameshindwa huu mziki

    MWIGULU ANACHANGANYIKIWA KADRI SIUKU ZINAVYOKARIBIA KUELEKEA 2015. NIMESOMA HOJA ZAKE ZOTE NIKAUNGANA NA MSEMAJI MMOJA ALIYESEMA JAMAA (MWIGULU) ALIPITA SHULE LAKINI HAIKUMUBALILISHA (YAANI KAMA NI VILE CATTLE KAPITISHWA KWENYE JOSHO (DIP) ILIYOTIWA DAWA YA KUUA VIMELEA. JAMAA NDO KACHANGIA KWA...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aripoti tena Polisi (Makao Makuu); Ashikilia Msimamo Kutowapa Ushahidi

    Polisi naona mmeshindwa wajibu wenu. Munaambiwa video ya milipuko haitolewi kwenu kwani nyie ndo wahusika wakuu hamsikii. Hivi hizi kozi zenu za miezi minne ndo unasababisha ufanisi na alama za nyakati kutoeleweka kwenu?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jikoni; Kesi ya kesho ya Henry Kileo itakavyokuwa na Mpango wa kumkamata Mbowe

    uvumilivu utatushinda. Watanzania wa leo sio wa miaka ya sabini. Wajaribu hao mapolisiCCM waone
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM kushinda kata za kutosha Uchaguzi wa Udiwani Arusha.

    Nenda katawaze maana inaonekana jana chizi mwigulu hakuwa na cd shonza. Kakushughulikia mpaka midevu zake zimepungua. Asubirie majibu tarehe 16/6/2013.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Lwakatare mahakamani na HATIMA yake leo

    Haya yote ni kwa ajili ya mchawi mwigulu na ccm yao. 2015 watakapokabidhi serikali either by force or harmony lazima haya yawatokee puani. Ikiwepo suala la rip mwangosi.
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ODM condemns Raila Odinga’s humiliation at JKIA

    Hao wajinga waache ushamba na ujinga. Kwani rao alishinda ktk uchaguzi. Ngoja nipange mkakati uhurot wasimalizie miezi sita ya uongozi wao km wana upuuzi km huu.
Back
Top Bottom