Recent content by jadenisambi

  1. jadenisambi

    Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    Rais gani mwingine aliyenufaisha kwao mpk useme ni 'fasion?'
  2. jadenisambi

    Sasa tunakwenda kushuhudia tofauti ya UKAWA kushika dola na CCM kurudi madarakani

    Bahati mbaya mkuu waraka wako umejaa hisia,tetesi za mitaani na habari za kudhaniadhania kiasi kwamba hata msomaji anaona hauna mantiki!
  3. jadenisambi

    Rais Magufuli: Fedha za hafla ya Bunge zinunue vitanda Muhimbili

    Duuu kweli siasa kazi na hasa inapokuwa siasa BH uchwara! Mh rais kaagiza vitanda na wote tumeona hali ya muhimbili ilivyo.bajeti yetu haijitoshelezi,ni tegemezi kwa wafadhili,wasipotoa hela mambo hayaendi.maana ya hapa kazi tu ni kutufanya tuwe na uwezo wa kujitegemea wenyewe;fumbuka n thamin...
  4. jadenisambi

    Rais Dr. Magufuli na Mh. Majaliwa: Karata za CCM kisiasa, zitafanikiwa?

    Punguza jazba,hata Lowasa anajua kuwa hakushinda na hakuwa na uwezo wa kushinda!
  5. jadenisambi

    Rais Dr. Magufuli na Mh. Majaliwa: Karata za CCM kisiasa, zitafanikiwa?

    Sina hakika na mtazamo wako.lazima tukiri kuwa kilichowaangusha ukawa ni kimteua Lowasa kugombea urais.watu wote wenye akili wanajua Lowasa hakuwa na ajenda yoyote ya mabadiliko.hata angeshinda urais acngekuwa nalolote linalohusu kuibadlisha nchi hii.aliondoka ccm baada ya jitihada zake zote...
  6. jadenisambi

    Spika Makinda alia na Waandishi wa habari!!

    ..namini hapendelei ila akubali UWEZO MDOGO HATA HAJUI ANACHOFANYA!
  7. jadenisambi

    Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    viongozi wetu ni aibu kwa taifa na kwa kweli ni janga la kitaifa.kumsema bwana mkubwa kwao ni dhambi kubwa kuliko kuwaacha walalahoi wakitaabika.alinza barabara wakati ule hata bunge lilikuwa halijaidhinisha bajeti,amekuja stand kuu ya mabasi na sasa bandari.nasikia wapambe wake pia wanasema...
  8. jadenisambi

    Jamani huyu mwalimu anafanya nini?

    'ipende kazi yako hata kama maslahi hayalipi'
  9. jadenisambi

    Polisi Zanzibar: Sheikh Farid wa Uamsho hakutekwa; kufikishwa mahakamani

    ....yule Imamu wa Pakistani aliweka vipisi vya qurani kwa yule mkristo akijidai kuwa "Hii ndiyo njia sahihi ya kuwamaliza Wakristo"na Huyu bila hata kujali madhara yatakayotokana na mchezo wake wa kijinga anastahili kuwajibishwa kama muuaji.
  10. jadenisambi

    Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

    kwa nini huko hawakufanya vurugu kama za mbagala?
  11. jadenisambi

    PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    so they are trying to confuse Us?Yesu Ni Mwamba Usiotikisika!
  12. jadenisambi

    PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    Ni kweli Mungu katupa akili na nguvu na uelewa zaidi lakini Yesu alimuuliza Petro"unadhani baba angu ameshindwa kunipigania mpaka ukamkata mtu sikio"?Mungu hapiganiwi hivyo anapiganiwa kwa kuhakikisha The Heart is Freed from all evils and hatred,na huo ndo msingi wa Dini yetu isio mfano!
  13. jadenisambi

    Mgomo wa walimu:CHADEMA inahusika?

    kama chadema ni kujua ukweli basi inahusika!
Back
Top Bottom